Tunaomini Nandy ni mdada mwenye moyo safiii tulike apa
2026-09-06 21:26:31
206
Babe vinny🧸💦 :
Kwaiy nyimb nzur au😂nimeuliza2
2026-09-06 20:55:40
82
ukhtymaamuh :
Kwan ujana wako ulikuwa wapi😁
2026-09-07 10:17:09
37
𝐼𝓉’𝓈 𝓂𝓎𝓇❀𝓈𝒽🌸🦅 :
Amerudi kwa kasiiii❤️
2026-09-06 18:11:46
87
Rebecca :
nyimbo ni nzuri ila ukiskiliza volume iwe off yaaan bila saut
2026-09-07 14:22:57
39
✨HILLDAH RICE🔥 :
AMBAO HAMUMUELEWII LINAH NYIE MPO SINGLE BHANA MSITUCHOSHE KWENYEE LABEL YETUU 🥰🥰🥰🥰
2026-09-06 21:22:04
34
Buddy :
Nyimbo sijaielewa ila nasikia sauti nzuri na beat imetulia vizuri sana
2026-09-06 18:12:25
59
Tiffan🥷 :
sijakuzoea hvy linah sanga
2026-09-07 06:43:07
3
cathe🍒 :
Mwimbo umepoa sana
2026-09-07 00:06:22
7
Babee🌹 :
hamfikii Nandy😂
2026-09-08 10:01:38
0
Witty 💔money 🙂↕️ :
lina sanga 🥰🥰🥰
2026-09-06 17:41:00
9
grace :
ukitaka uielewe vzur hii nyimbo hakikisha penzi lako lipo lele lelee
2026-09-07 06:14:14
5
🎀TRACY🦋 :
ujue kuimba usijue tutaku support ivo ivo furah yetu kukuona tu unaimba ❤️🥰🫂
2026-09-07 05:53:02
8
Clara.s.t.o.r.e 💸🖤 :
Kipenzi 🤍
2026-09-06 17:40:52
8
Feyl ☑️ :
Nandy akinijibuhii mniambieee🙏🙏🥹🥹
2026-09-06 18:41:10
6
Haule Mary :
Acheni hayo majimbo dada Linah njoo umuimbie Mungu jamani hiyo sauti alikupa ili uutangaze ufalme wake kupitia hiyo sauti watu waache njia za uovu waje kwa Kristo....Unahamasisha uzinifu hizo secular 🙏🏻🙏🏻
2026-09-07 11:02:08
2
The winner🙏 :
Kwan linna ni nan before aliwahi kuimba wimbo gan
2026-09-07 05:12:33
1
Dee🌸🦋🥀 :
Kama hauko penzini hii nyimbo utaiona mbaya
2026-09-08 11:21:06
0
Irene _tonnie✨️😍 :
atakam hajaimb vzr utasemaaaaaa???? ata sijaelewa anamaanish n̈n
2026-09-06 19:35:08
5
To see more videos from user @nandytz, please go to the Tikwm
homepage.