@zameer_khan40: Mpenzi wako lakini bado anawasiliana na ex wake, kaa nae kwa akili saana#foryou #fyp #relatable #videoviral

Zameer khan
Zameer khan
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 17:53:57 GMT
281293
11163
229
971

Music

Download

Comments

maudodo08
Coo🎀 :
waongee wakitaka waowane[Tears of joy]
2026-09-28 05:39:35
0
zahra.jooh4
zahra jooh :
cjui hata x wake nan 😁😁😁
2026-09-27 03:53:16
0
ollie56497
ollie💞 :
me nina nmb ya ex wangu kwaajili ya status tu not otherwise
2026-09-26 17:20:20
0
scorpionquee01
Mama Muzdalifah :
Huyo mtu aniogope zaidi Mimi ambae najua anamazungumzo na ex wake alafu Niko kimya sijali lolote wala chochote yaani washirikiane kuniogopa📌
2026-09-23 13:27:00
124
imnithaiva
FX_nana📈📊 :
After God plz fear me jmn mm sio mwema kbs
2026-09-24 10:03:22
6
user7825914224927
Fabrice mweye mali±243 :
eeeeeee
2026-09-27 16:41:47
0
arishaina4
❤️arishaina ly :
watu wasisalimiane
2026-09-23 06:45:28
23
annhdbynyjyyrfrykyn
RECH :
mi wangu wametiana na mimba nimelia nimenyamanza nibaki kumwachia Mungu atende🥹
2026-09-23 19:14:31
20
nicahtee
Last born wa mr Tee💞 :
na mtu anae ongea na mzazi mwenzie kila mda ukimuuliza anakwambia ni kuhus mtoto tu
2026-09-24 14:17:20
24
salimasylvie917
honestly :
Mimi naogea na ex wangu
2026-09-22 22:35:34
14
immanuelkiboye
It's imaa :
perfect
2026-09-26 19:36:14
0
heavengift05
beck-05😇 :
watajua wenyewe bhana as long as Niko naye😏
2026-09-25 14:16:32
6
mrs62231
betha vivan 🫂❤️❤️❤️ :
atajua yeye me siwez ach kucht na ma ex wang kwanz sijawai futa no 😂😂😂
2026-09-24 05:35:42
5
fatma.said7142
fatima :
mimi ex wangu ananiambia kila kitu kuhusu mwamke wake 😂😂😂😂
2026-09-24 05:32:56
9
arfom20
omyg :
nina ushuhuda,tena haswa mwanaume aliyezalisha sehemu😭waschana msiolewe na wanaume wenye mabeb mama ,najua hamtanielewa ila ipo sku mtanielewa😭hawaachan hao ht km wakinuniana miaja saba ila ipo sku haina tareh maalumu watarudiana😭
2026-09-26 15:10:02
4
254sp2
Sp❤️❤️ :
jana maskio yake yameni add kwa call bila yeye kujua niliyaskiliza hayo mazungumzo yao yote😅
2026-09-23 18:56:13
1
halimakioza
snake eyes 👀 :
umewahi kunikuta Sina hamu
2026-09-25 01:42:19
1
user4891786028474
user4891786028474 :
siogopi n ndo niko nae apa aibu wataona wao[Bubble chill]
2026-09-26 20:28:33
1
ksarrl
aiem Isarrly🐵 :
😂😂😂😂 sasa kana tuliachana bila ugomv🤣🤣🤣
2026-09-24 08:24:29
1
f.kipingu45
@f kipingu 🦺🇮🇳🦺 :
oya bloo amini. iko bloo
2026-09-24 12:06:44
2
msupagyal
mariabeutty :
mimi hapa wangu hatukuwai gombana wala kukosana tulipoteleana 2 na mbaka sai tunaongea nawala sina hofu naenjoy kwa raha zangu🤣😂
2026-09-25 14:20:31
3
lydiasongoloka
songoloka lydia :
utafanya Nini Dunia hii tumejaaa watu wanafiki Mungu aturehemu
2026-09-27 18:48:48
1
glorysandy1
Ms _ Sandy ♋️ 💧 🌕 :
Sasa hii akili itachoka kila kitu akili , hata ukitumia akili huwezi zuia
2026-09-24 19:29:11
1
samsonemmanuel302
Someson :
sasa huyo mwenyewe nae deti nae ni ex wangu kipenzi mtarajiwa na nazungumza nae vizuri tuu, why nisiongee na mwenzie sasa
2026-09-24 18:32:09
2
miss_shadrah
AM_OVERTHINKER🙉 :
naanakwambia kabisa unamuona flani nilimuunganisha mpakaleo anishukuru ananipigia ananiambia nimekwama em nisaidie ata ushauri yan inaumiza ila bas 2 acha tu play the players
2026-09-25 08:01:22
0
To see more videos from user @zameer_khan40, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About