mnaona vile hawa wanalia hata Sisi tutalia 2027 na siuwongo
2026-09-07 19:15:57
2
Douglas young de bravo :
sa sa watoto wadogo wamekosa nn please adi wangeachana nawo TU please
2026-09-08 03:15:13
2
Hussein Mohammed Ali :
@Hussein Mohammed Ali:Safari njema bolen sana mungu n mukubwa, Kwa wakenya wenzangu
2. Kumbuka sisi pia ni wageni kwingine. Wakenya wako kila mahali - Uganda, Tanzania, Burundi, Rwanda, South Sudan, hata Marekani wanatafuta maisha. Tukiwafukuza wengine vibaya, na sisi tutafukuzwa huko.
3. Waburundi ni ndugu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Sisi ni EAC moja. Leo ni yeye, kesho inaweza kuwa wewe.
4. Uchumi mbaya haisababishwi na mtu anayeuza kahawa au mandazi mtaani. Tatizo ni kubwa kuliko huyo mama. Kumfukuza jirani maskini haituongezei pesa mfukoni.
5. Tuchague ubinadamu. Hata kama mtu hana kibali, anastahili heshima. Tunaweza kumuambia arudi kwa utaratibu, ampewe angalau wiki moja ajipange, kama wao wenyewe wanaomba. Wana damu kama sisi tu kama ulivyosema vizuri sana.
2026-09-07 16:21:53
4
Aisha Nadine :
sorry my people i feel like cying
2026-09-07 15:58:07
2
antidote KE :
mungu atawaonekania
2026-09-07 17:38:54
3
To see more videos from user @khalifahboy0, please go to the Tikwm
homepage.