@j60_channel_tz: unafika mahali unakosa cha kuandika #tanzania #tanzaniatiktok

J60 CHANNEL tz
J60 CHANNEL tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 18:01:53 GMT
96587
3388
241
407

Music

Download

Comments

kihongole3
MR AWARENESS🧠🧠 :
SISI WATOTO WA MASKINI TUNATESEKA SANA JAMANIII😭😭😭
2026-09-06 20:02:41
86
beingannie45
Annie🦚❤️‍🩹🔥 :
Uyo dada anajua kinachoendelea
2026-09-06 20:57:48
47
happyimagination_21
Happy :
hapo kwa Samia. sahau kupata msaada maana hao watekaji ni vijana wake.
2026-09-07 04:07:15
46
ramona.kim4
Ramona Kim :
ila mama junior ni mama na nusu,anaongea kama mzazi bila kupanick
2026-09-06 20:09:41
71
samimachaog
miss macha :
cheo ni zamana knaweza ondolewa wakat wowote na muda wowote
2026-09-06 21:18:56
40
mode06277
mode :
mtanikumbuka kwa wema Wala si kwa mabaya
2026-09-06 22:08:25
35
cherlyshammy
shammycherly@ :
tumuombe huyu kaka jaman wasimfanyie tu ubaya wasimvunje tu n kijana mdogo saana
2026-09-06 19:44:21
44
officially.chiwawa
CHIWAWA!|🧸🖇️❤️ :
Nikisema single mnaitikia Tawire🥹😩Aya Single……………..
2026-09-07 05:50:21
12
barbiemamu409
barbiemamu❤ :
Si kwa ubaya ila wanaume wote wanaojaribu kutuacha Yan kutaka mahusiano yaishe wafanyiwe tu hivi mbn hatutakua singo 😂😂
2026-09-07 04:52:31
21
ryne955
ryne🥰 :
Majibu y huyo dada ni ushahid tosha
2026-09-07 06:39:14
11
directormjagongo
DIRECTOR MJA GONGO :
mmoja anikopeshe pesa niondoke nchini maana nina wasiwasi,nchi imeoza hii😢😢😢
2026-09-07 04:31:28
8
stamphord2
Justin stamphord :
nihamie nchi ya arusha maan
2026-09-07 07:45:05
5
munira_mlehele
munira :
hii imezidi sasa yani mpaka mapenzi ya watoto wazazi wanaigilia,
2026-09-06 20:59:48
16
sashamanoor
maryce :
ngoja nikuandikie maombi 12 Mungu hazuiliwi na Umbali Mungu awafanyie Wepesi kwa jina la YESU
2026-09-07 20:57:38
8
giannafocus
GiannaFocus :
Kwahio watu wasiachane Daaah hii nchi tunapoelekea hata ukijamba unaeza ukapotezwa😢🙌
2026-09-07 08:18:19
8
ilham.saad303
Simply-Her ♐️❤️ :
Mama angu apo angekua analia moja kwa moja🥺🥺
2026-09-06 22:11:29
11
morogoro_ole_kivuyo_shop
QUEEN OF MAASAI :
junior wote ni wapole jaman alafu ni watoto wa mama
2026-09-07 08:22:14
5
mrmotajiri
Mr Possible :
Muacheni mama yupo msibani...Mbona hamna huruma
2026-09-07 18:24:37
5
samirastylsh
Samirastylsh :
Imeshakua too much Sasa loh,watu wanajichukulia sheria mkononi
2026-09-06 19:45:34
28
martha.amani73
Martha chalamila :
jaman saiv tuwe makin na haya mahusiano kumbe unaweza mkataa mtu afu ukapotezwa uwiii
2026-09-07 04:35:39
7
user3925510547194
user3925510547194 :
Aisee mama kaongea vizuri sana jamani.
2026-09-06 20:37:00
13
emmanuel_paul09
Emma Mullano. 🎒 :
Tanzania mbna umekua mbaya ivi. 🥺
2026-09-06 20:30:20
14
geee682
Geee628 :
mim ningeenda kulala kwao walah
2026-09-06 19:40:32
10
chapo5159
chapo :
watanzania tuko nyuma sana mtu anachukuliwa mnamwangalia
2026-09-06 21:38:26
7
vina.3105d
MWAKAGILE :
yale yale unajua mmi ni nani haya kwa chuma yalikoma saiv yameludi
2026-09-07 01:01:31
7
To see more videos from user @j60_channel_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About