@yangafans39: SINGIDA YAPIGA MTU KAMA NGOMA MUNGU IBARIKI TANZANIA🇹🇿🇹🇿🇹🇿#yangasportsclub #fyppppppppppppppppppppppp #fyyyyyyyyyyyyyyyy #tanzania🇹🇿 #viralvideo
Jamaa alikuwa anakimbia na mpira ili waongezewe magoli mengine 😂😂
2026-09-06 21:33:01
0
Lucas :
jamaa alivyokimbia na mpira kama anajipa moyo zinarudi hivi😂😂😂
2026-09-06 19:54:24
2
MohdAlly49.gmal.Com :
hao bongo wasije tuu wsjivunjee😁
2026-09-06 20:01:02
0
@kag8ma :
mmmmmmh mda Bado watapigwa tu mtaona😆😅
2026-09-06 19:23:36
1
@@#smart boy tz :
singida wakichekewa hawaa watauwa sanaa🔥🔥🔥
2026-09-06 19:47:00
1
charlesmogoro382 :
mbona kama ndondo cup hii au mnaonaje wenzangu 😆😆😆🤣🤣
2026-09-07 06:17:22
0
GOODMAN EMPORIUM :
@GOODMAN EMPORIUM: Pole yetu blues…GOODMAN EMPORIUM tunauza simu na bidhaa za electronics Tunapatikana kariakoo mtaa wa masasi na Likoma opp. Na KKKT Kanisani. Angalia page zetu ili kujua zaidi kuhusu sisi.
2026-09-07 06:02:35
0
young j :
macho yangu yameona vibaya au kweli singida wana mzungu
2026-09-07 09:19:44
0
me Vs me :
nyie muna uhakika hiyo timu walio cheza nayo niya mpila wamiguu kweli maana duuu kilaikipingwa imo
2026-09-06 20:39:53
0
To see more videos from user @yangafans39, please go to the Tikwm
homepage.