kwa hivo ata mbwa, panya, nyoka na paka sio najisi?
2026-09-07 08:10:25
2
ISAAC529 :
Death in the Kitchen......nyama ya Nguruwe ni najisi,,Mungu hajawahi badilisha neno lake takatifu
2026-09-07 06:53:26
2
Dogo mtonyo :
mtonyo apa
2026-09-06 18:14:44
3
Global winner's and shiner's :
is this true
2026-09-07 09:31:05
0
FARUU :
kimwingiacho mtu na ale na kimtokacho ndio haram
2026-09-07 03:33:27
6
Jacob Jmad :
kumbe nivyakula sionajisi
2026-09-06 19:22:12
6
GODFREY Kandidus Lupindu :
Walikatazawa Walawi sisi ni Wangoni 😂😂😂😂
2026-09-07 09:54:58
2
kelvinmwendambio :
acha kupotosha watu
2026-09-07 06:44:53
0
gujuss :
kiti moto,
2026-09-06 20:14:45
1
@engineerwaingo :
ni kweli bro
2026-09-07 08:34:32
0
Sinsolo067 :
unajuwa wakati mwingine nashindwa kuelewa unakatzwa aje kula nyama ya nguruwe kwani mungu mwenye alielekeza nguruwe kwenda baharini alikuwa mjinga nguruwe ilielekezwa kwenda baharini ikaoshwa tuwache kujipotosha
2026-09-07 10:16:48
0
Serengeti king Safaris :
amen
2026-09-07 08:51:36
0
410 junior :
je? katika bibilia nguruwe imetakaswa????
2026-09-07 05:46:55
0
Amulume odeku :
Amina
2026-09-07 10:54:08
0
izabayo justin :
j
2026-09-07 06:13:15
0
Amos lesan :
amen 🙏
2026-09-07 07:21:27
0
chengula :
akiumbacho mungu sio haramu
2026-09-07 13:38:05
0
Riziki :
ok
2026-09-06 18:46:44
1
Mfarisayo :
hiki kipindi Kwan kipog tena?
2026-09-07 06:00:46
0
Riseup Jey :
kitimoto lazim iliwe😊
2026-09-07 07:49:57
1
daudi :
na bangi
2026-09-07 09:54:28
0
simba simba :
mbona waisilamu Wana isema san nguruwe mbona na ngamia iliharamiswa mbona wanakula sasa
2026-09-07 07:28:03
0
410 junior :
unapotosha watu wewe..... tusomee katika bibilia kwenye nguruwe imekataswa
2026-09-07 05:48:09
0
To see more videos from user @naddo.khan5, please go to the Tikwm
homepage.