Leo ZANZIBAR imejaa njaa Wallah sijui tufanye nini
2026-09-10 17:41:58
6
Gadaff :
OMO mpe pongezi mwenzio kwa kazi anayo Ifanya
2026-09-07 11:04:44
4
Nassoro Mkwanje :
Tanzania Ina utajiri kuliko Congo au SA?
2026-09-10 22:01:10
2
my name is.. :
kwanini vyama pinzani mnaonaga mabaya tu?
2026-09-09 06:06:11
2
arteta :
Ndio mana muungano siupendi Kwa sababu unatucheleweshea maendeleo
2026-09-13 07:07:01
2
Rammy Kandra :
Umeongea ukweli kabisa
2026-09-10 15:46:16
4
ZAINAB ABDULLAH :
2030 mtachukua nchi inshallah
2026-09-06 20:21:56
3
Khayriya Salim :
walotangulia. hawajafanya sasa mheshimiwa Raisi Husein anafanya kwa kweli ila mambo mengi tumpe hongera zake
2026-09-06 20:53:16
9
Abdul Hafidh :
Mimi Mzanzibari
2026-09-07 10:56:11
0
Othmagndaza5 :
innshallhh🤲 mungu atatuvusha salama
🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
2026-09-10 00:01:02
1
Rajab Matege :
uko sahihi broo
2026-09-07 06:05:09
2
user9571179566750 :
unaijuwa vizuri siasa mungu akulinde
2026-09-10 07:30:14
1
Peace of mind :
Hapa umeupiga mwingi mno Allah azidi kukuzidishia imani ya kupambania wanao stahilinkupambaniwa na Allah azidi kukulinda na kila aina ya uadui na nyama za kila aina Allahumma amin! Naomba itikia amni dua umetoka moyoni kabisa
2026-09-09 14:41:09
2
dkt :
muheshimiwa kiliyochangu vitambulisho vwauraiya vijana kuna ugumu kupatiwa wilaya ya mkowani
2026-09-09 20:25:30
1
HAR :SUBET@ :
swadakta
2026-09-08 18:47:59
1
nassor :
👍
2026-09-07 13:19:12
1
suluhu family :
nii kweli CCM wao kazii kula pesa za wanchii tuu kila sehemu kodii zinazidii tuu
2026-09-08 16:30:01
1
Asha Dula :
Tuungane pamoja kuinua nchi yetu
2026-09-07 13:00:22
1
Ali nadeem :
Great talk
2026-09-07 03:49:34
1
Muda.sea food🇹🇿 :
🫡🫡🫡🫡🫡🫡❤️🔥❤️🔥
2026-09-11 07:25:41
0
ramosidr1 :
Tatizo mnamuachia dr Husein peke yake na wewe upo na nafasi kubwa kwanin usifanye wew
2026-09-14 17:58:34
0
Muammar Gaddaf :
tunakupenda sana mrithi wa maallim
2026-09-13 07:14:39
2
UniqueAuf01 :
Muheshimiwa unayo yasema ni ya kweli lakini siku zote kweli inauma.
2026-09-10 20:28:10
0
omarkhamis430 :
🥰🥰🥰
2026-09-06 19:13:02
0
To see more videos from user @othmanmasud, please go to the Tikwm
homepage.