@johnmwasomola2020: Dariuchii > Ulimi wako, unaweza kutoa Baraka pia unaweza kutoa Laana. Mungu Atusaidie Sana🙏 #kenya #usa🇺🇸 #fypシ゚viralシfypシ゚ #tanzania #ChallengeAccepted
yaani mahali dunia umefika Mungu sah anatumia adi mtto hajazoea kuongea glory to almighty 🙏🙏
2026-09-06 20:50:59
463
Grace Neema :
God bless u my little chirld
2026-09-08 10:43:47
20
God'son :
huyu mtoto ni Ai au [Tears of joy] ? bcoz maneno anayoongea hayaendani na umri wake,the word he is talking is too big and too deep, praise Jesus
2026-09-07 08:14:04
72
kinya :
amen and amen
2026-09-12 21:39:52
0
The pearl 💫 :
Mwenyezi Mungu akuzidishie hitaji la moyo wako🥰🥰
2026-09-06 18:59:43
151
Nasy lady :
ameeeeeeeeeeeena
2026-09-11 02:51:16
0
patrickangira :
kitu inanisumbua ni kuwa tutasemaje mbele zake Yesu Kristus eti haya tulioyasikia yakinenewa na mtoto mdogo eti yalitupita🤔🙄🤔,,,mimi haya maneno yananisumbua sana,,,Huyu si mtoto tu bali anaongozwa na Roho Takatifu🙏🙏
2026-09-07 18:36:12
33
xue wk :
Mungu bariki ulimi wangu, unisamehe yote nitamkayo mabaya kwa watoto wangu wabariki