Hawakagui maden tu ,might not be the only reason traffic wengine wanatabia ya kushangaa gari,kuna siku nilisimamishwa tu traffic kashangaa gar na kulipanda akasema hongera nikaondoka
2026-09-07 02:00:12
15
HalaMaison :
Anajua alichokismamisha lakini🤣🤣🤣
2026-09-06 21:35:26
12
Hashil :
hhhhh ninge pitaa😂😂😂
2026-09-06 20:24:01
4
𝖬𝗌. 𝖫𝗂𝖽𝗒𝖺 :
Hii ndo masedizi au 😳
2026-09-07 01:22:21
0
Taptap :
Huyo big aogopagi mtu
2026-09-06 20:47:13
2
Ian | Tanzania🇹🇿Safari Guide :
njaa tu
2026-09-07 04:50:09
1
ford4tz :
ivi kwann plate number mbele hakuna kwenye iyo chuma?
2026-09-06 20:56:10
1
Disney :
Supra ikatii kabisa kusimama
2026-09-07 10:22:07
0
FARID OFFICE FURNITURE :
Hiyo ndo bongo yetu sehem ya starehe trafki wanakamata magari kwa mimi naona sio sawa
2026-09-07 07:28:31
0
unknown3rror :
kasimamisha ampe salamu tu hapo hakuna jipya
2026-09-07 08:17:54
0
m@k@v£l :
muone uyo traffic 👀😂
2026-09-06 20:06:24
4
mangi_mtasha :
trafki alitaka kumjua mmiliki tuu😅😅😅 gar kama hio madeni itoe wap
2026-09-07 12:01:07
0
_ABBY🤠 :
😁😁😁
2026-09-06 20:45:51
0
Saxon :
🥰🥰🥰
2026-09-07 13:13:44
0
To see more videos from user @redline.legends, please go to the Tikwm
homepage.