mashaallah kama hajaelewa nimuozeshe dadaangu ili apate elimu vizuri
2026-09-06 20:06:31
9
omy shop :
waambie wajue kabisa hata wautukane vip uislam hatuwez tukauchukia sababu ndio dini ya haki endelea kuwapa elimu shekhe allah akujaarie umli mrefu na baraka zake[Pray]
2026-09-09 15:37:27
2
u llow :
mwenyezi mungu akunze shekhe wetu
2026-09-06 20:39:00
8
user7243948669474 :
Mashallah Baba Haleema Mungu azidi kkupa nguvu afya na uzma ili uweze kuwaelimisha zaidi wenye elmu na wasiokuwa na elmu pia
2026-09-06 20:33:17
5
Gerrard soso :
shekhe wangu wa muda wote nakuitaga Man of the match 💪
japo nakuchukia Kwa kosa dogo tu ila ni Kwa utani na Kwa upendo tu Maalimu wangu🤣
kosa lenyewe ni kutokuiacha hii elimu yako Kwa vizazi vipya maana hii elimu yako ni elimu yenye manufaa makubwa sana ktk dini hii ya Allah tabaraka wataallah
2026-09-09 07:49:07
2
tawheed :
maashaalah
2026-09-06 19:57:18
5
black belt :
marshaAllah mwalimu
2026-09-08 07:23:59
1
iddalihussein :
waleikum msalaam warghmatullah wabarakatu sheikhe wangu, Mashallah next episode plizz
2026-09-07 08:26:47
1
fatumakamkumba :
waleku msallam
2026-09-07 03:40:05
1
Ntundamtinko :
Naam mwalim
2026-09-06 19:50:29
1
To see more videos from user @shaaban_b.omar, please go to the Tikwm
homepage.