@fravius01: #memes #wife

FRAVIUS.
FRAVIUS.
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 19:40:23 GMT
435083
30171
595
3298

Music

Download

Comments

jumajumbe4
jumajumbe :
Kama unatumia ChatGPT mwambie achague namba yoyote kati ya 1 - 30 Asipochagua 17 mje mnipige😂😂😂😂
2026-09-09 20:34:44
25
user26828178765974
Queen luchagula 😂 :
hahaha hahahaha ukiskia tuu akakanyimbo ujue kuna jambo🤣🤣🤣
2026-09-07 07:54:15
106
ramlaherry8
ramlaherry :
umbea huwa inamuwasha mpaka anahadithia kua rafiki ake ndo kakwazana na dem wake kumbe ni yeye lakin hawa wanaume
2026-09-07 19:27:49
73
scholaenosi
Schola Enosi :
😂😅😂 jmni nimecheka mpka nimelia je kama nimwanamke unafanyaje hp😁
2026-09-07 12:46:33
38
user7036526668847
Ummy :
muhadithie uanzishe vita vya majimaji
2026-09-08 11:12:45
12
user5614447424597
loiy :
mi aliwahi kunihadhia anasema haya Sasa siulikuwa unasema natembea na elza Sasa nimemfumania na mtu kunisingizia tu nilicheka sana na penzi lao liliishia hapo😂😂😂😂😂
2026-09-09 14:14:20
6
neema.medardi
N :
kwakweli Mimi siwezagi kuumia pekeangu nikiumizwaga na mwanaume huko nje nakuja kumuambia mume wangu nae anachukia alafu tunaanza kubembelezana maisha yanaenda
2026-09-07 17:57:53
10
bekatz589
True Boy :
jirani yangu kasema nimedokoa nyama yake jiko. sasa mm nawezaje kula nyama haina chumbi🥹 sijapenda
2026-09-09 05:13:02
3
futaaaaaa
futaaaaaa :
chukua zawadi ya bata umetisha sana
2026-09-08 14:57:06
19
catherinesteven68
Catherine Steven :
jaman kuna jiran yetu anamsifia mchepuko mbele ya mke wake ety simuach bikra nmemtoa mm
2026-09-09 20:07:33
5
shangwe46
Shangwe Kudaka :
Acha hio kuna mda unapata mpenzi wa nje hajitambui kabsa, una tamani umwambie wife jinsi anavyo jitambua kuliko jeshi la shamu ulio lipata nje.
2026-09-09 10:39:07
3
muna1700730880185
muna :
mume wang alikuwa akija amekwazwa huko anaanza ila rafiki yangu mapenzi yata muuwa yaana anapelekeshwa na mchepuko hamjal hata mke wake mm nacheka tuu😂😂
2026-09-09 01:53:59
4
gabrielfabian251
Gaby de channex :
kabisa mwanetu yan Kuna huyo mpenz Kila mda anataka nywele nzur,,nguo za fashion,,mafuta n.k nakat ata mke haombi vyote hvo sa nachanganyikiwa mwanetu🤣🤣🤣
2026-10-03 11:28:16
1
edisoni.philimoni
frediy philimoni :
kwa heshima
2026-09-06 22:02:43
8
aines746
Aines :
Mimi kwakweli wakwangu anapenda atanihadisia ya mke mwenzangu🤣🤣🤣
2026-09-27 12:21:21
0
user5996108618397
k2b girl :
unaki2 mbn
2026-09-08 18:13:04
3
swaumnasibu
sb w :
kweli kabisa
2026-09-06 21:35:07
7
user9103101706215
Happy🙏🙏🙏 :
mwenye kulitafta mwenye kulidoda🤣🤣🤣 mm nichekaga tu
2026-09-09 04:29:30
1
emmy71436
Emmy ♥️ :
Na ananijuwa ndyo maana hawez niadisia😁😁
2026-09-08 13:42:19
2
user3800365996033
Ley :
Ndo kazi yangu hiyo ili kumkumbusha mkeo kumbe ni wa muhimu alaaaaaaa
2026-09-09 15:52:54
2
ediusbahati486
Eddy@311 :
mi namuadithiaga 😅😅😅😅😅
2026-09-21 13:28:49
1
miss.vee7292
Miss 🦋vee🦋 :
Mwambie tyu aanzishe vita ya tatu ya dunia😂😂😂
2026-09-09 17:12:25
1
eddy644240
eddy :
kweli kabisaaa😂😂😂
2026-09-08 18:36:23
1
mfaumemtalika451
kidole :
kweli kabisa
2026-09-07 16:54:16
1
estherbeauty97
Esther :
😁😁😁😁😁😁je kuachana nae
2026-09-07 13:51:34
2
To see more videos from user @fravius01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About