sumbawanga 🙌🙌nauli ilikata chwaaah km pumzi ya mwisho 😁😁😁
2026-09-07 15:13:43
6
user8169524290715 :
ila boda noma kila sehem wapo
2026-09-07 22:41:59
2
Silvia Salvatorymmary :
ila wew
2026-09-07 21:26:22
1
Boy MSAFI...🛣🚦 :
😁😁😁😁 sitaki ata kupasikia apo
2026-09-07 05:36:44
1
Rahim simigol :
hahahahahah ushapita mzani mkuu
2026-09-07 05:56:28
1
Kelly's poul tz :
Daar me nilipita tu apoooo nili2mia adi ella ya guest nikaenda pale wanapopika mpka asubuh cjuw ni waap karbu na round about kwa nyum kdog ilikuwa noma sanaaah🙏🙏🙏🙏
2026-09-07 18:40:53
0
Mr Kason :
kiwanja kiko wap hicho
2026-09-07 08:03:11
0
TIGER MORANA :
Location wakuu
2026-09-07 09:39:00
0
@mr iringa finest :
😂😂namm kama boss wako nishakuona humu hata upige Sim sipokei
2026-09-07 06:45:56
1
happy deus :
Nataka kuja vp nani atanipokea
2026-09-07 16:25:17
0
kilolikiloli :
hapa wapi wakuu
2026-09-07 09:23:31
0
Safari ya Matumaini 💦 :
cindio mwanangu 😁😁😁
2026-09-07 17:13:20
1
ramadhannassor536 :
Ni mbaya mkuu🤣🤣🤣
2026-09-08 05:45:34
0
steve fashion killer :
aseee niliachaga hela zangu nying apo ngoja soon nakuja tena
bora ww mi wangu alisema anaenda kutembea akashtuka asubuh akapitiliza tu porin kupakia
2026-09-07 15:26:13
0
Benedicto Mtiganzi :
Oyaaa wewe hicho kiwanja EMIRATES MAKAMBAKO syoo poah humo ndan kuna vibe knomaaa na unaenjoy mzk mzuri sana, Ukiingia humo ndani hakikisha una hela ya kutosha syo hela ya mawazo
2026-09-07 10:18:30
0
Pascal Sangai :
mdogo wetu iringa mafinga hyo
2026-09-07 09:24:20
0
RUFF RIDER⛹️♀️ :
🤣🤣🤣na baridi la makambako lazm uchukue pisi usisahau na spea tairi nayo ilidondoka
2026-09-07 01:31:54
3
kass b :
😂😂😂 sawa lakini ukipigia simu washkaji kuomba posho atushiki
2026-09-06 19:56:34
2
To see more videos from user @andrewp0071, please go to the Tikwm
homepage.