rombo mashati. ndio home. chuga kuna wadudu, kuna tofauti kati ya watu wa mashati rombo kilimanjaro na wadudu wa chuga Arusha. sema wote ni wajanja wa kaskazini. tunatafuta kwao tunajenga kwetu. karibu mashati rombo kata ya olele mkoani kilimanjaro. 🥰
2026-09-09 06:36:20
2
INGUZ :
mseng kweli. 😂😂😂
2026-09-07 05:41:28
1
ibarwe mng'ashini :
Rombo makaptula!
2026-09-08 12:38:31
0
George Investment Kilole :
Haya wale wa Katangara tujuane
2026-09-08 05:53:42
0
Maya Salim :
ni kwel watu wa rombo wanapenda kusema wametokea chuga cjui kwann mwez wa 12 nko kwa gar inatoka dar kwenda rombo me kwetu mwika jamaa kapigiwa cmu anaulizwa uko wap anajibu nko kwa gar naenda chuga na hapo anaenda rombo sasa nashindwa kuelewa hyo gar ikifika njia panda ya himo na moshi linaacha kwenda linapoenda linaenda arusha au halafu wanakuwa walevi wanapiga kelele cpand tena gar zinazoenda rombo bora nipande za arusha nishuke njia panda nitafute usafir mwingine
2026-09-09 06:23:17
0
Tansy🫴chep🫶❤️🩹💯 :
🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-06 19:56:26
2
Valentina Adeni :
😁😁😁
2026-09-06 19:47:51
2
𝕕𝕦𝕝𝕝𝕪 32😁😁 :
😁😁😁
2026-09-06 19:44:20
0
kambale wasi :
🥰🥰🥰
2026-09-08 13:19:18
0
user9319493249383 :
😂😂
2026-09-08 21:40:27
0
To see more videos from user @ukubwa23, please go to the Tikwm
homepage.