😭😭😭this people are very kind..hata wakirent nyumba yako huwa Wanamake sure wameplipa on time
2026-09-07 07:13:13
6
it's Jay :
kwani walichange colour ya Ku like
2026-09-07 10:11:44
197
mama bravoh :
😭😭😭😭Na venye walikuwa wanajua mapenzi mi kwishaaaa
2026-09-07 08:46:44
97
Sabrina west💜💜254 🇰🇪 :
Kila mtu akae kwao😁
2026-09-07 06:40:49
73
manu muli :
may God help them so sad 😳😳
2026-09-07 05:13:53
10
Braxtone :
ni uchungu but msijali endeni salama sifuna akiwa Rais atawarudisha
2026-09-07 05:40:33
110
🦋ANYANGO🦋 :
2term,,kila mtu akae kwao,,wakikaa kenya nani atajenga kwao
2026-09-07 07:46:51
34
D.C.I✌️ :
Mungu atusamehe kwa niaba ya Rais wetu 🙏🙏
2026-09-07 08:56:57
18
misedajey :
NO ONE SAID THEY SHOULD GO this is miss understanding
2026-09-07 05:31:06
7
Val🌸 :
ss nani atakuwa ananilipia simu😳
2026-09-07 07:09:17
6
The mugambis family 💕💕💕💕💕 :
na wenye wamezaa na wao tumebaki na
mimba na watoto
2026-09-07 04:48:27
10
💥🌍ÏT'S ÉSSY PA MÀÚRÉÉÑBÉB🌍 :
hii nayo haijanifarahisha kabisaa 😳and what if sisi tuko gulf tukifukunzwa tutafanya nini 🥲🥲
2026-09-07 09:26:27
10
randoz rakuz :
sasa wenye mulikua mnataka waende sii muende mufanye zile kazi walikua wanafanya muache wizi m siwenzi support k2 kaa hii ata n madawa prezo umeniangusha Sana hii sii poa
2026-09-07 10:54:04
5
miki mata jaja :
mimi siendi mahali kenya ni yetu wote
2026-09-07 10:07:47
25
favouredone :
naomba mfike salama aki ajali isijue njia yenu mungu atawafungulia njia huko. kwenu
2026-09-07 06:37:32
43
Timo the artist :
kesho naanza kuuza kahawa na kikombe moja ni 100,mandazi ni 70 na hatuna kulalamika 🤣🤣🤣🤣
2026-09-07 09:22:19
66
✨️jenifer🤍 :
sasa bwana yangu ameenda ivo mumeamua nikae single mother sindio
2026-09-07 08:06:49
6
💜 Mãmiţơĥ 🇯🇲 :
Crushie wangu ameenda, ntakua nakunywa wapi kahawa ya bure aki 😭
2026-09-07 06:33:29
42
To see more videos from user @peter.karanja1, please go to the Tikwm
homepage.