@amankafalume: ๐Ÿ˜Žโœ๏ธ๐Ÿ‘€ KUTOKA MSHAHARA LAKIMBILI NA NUSU MPAKA KUA BIG FISH OYA WANANGU SOPOA #daresalaam๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #tanzaniatiktokers #kenyantiktok๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช #bongochachacha #viralvideo

KAFALUME 12๐Ÿ•ท๏ธ
KAFALUME 12๐Ÿ•ท๏ธ
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 20:26:55 GMT
225280
20041
535
476

Music

Download

Comments

tibuh28
First born โœ… :
Tutajua tu ukweli tukifika kwa baba ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
2026-09-07 04:57:11
297
bongodrama.tz
Bongo_drama.tz1 :
EGO at its PEAK ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
2026-09-06 23:09:03
152
jae5128.2
Jae๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ :
msiyo elewa jamaa alikuwa alikuwa na pesa ameamua kuajiliwa ili ajuwe system ya biashara na kwakuwa anaipenda piya. Asantee
2026-09-07 02:17:08
119
official_ceo05
@CEO :
unatakiwa kufany Kaz miez 680 sawa na miaka 56 ndo upate 170M kwa mshahara wa 250k kwa mwez๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kuna kitu hujasema๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-09-07 07:14:25
87
iman.from
prince kigoma +255๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ :
sorry full video ipo wap
2026-09-07 13:14:33
0
denis_trill
Denis_trill :
something is wrong here ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ
2026-09-07 07:42:53
0
alphonce.boniphac2
Alphonce Boniphace :
mhuuu[thinking][thinking][thinking][thinking][thinking][thinking]
2026-09-07 12:34:02
0
gb35303
GB :
I cant learn anything
2026-09-07 16:08:10
0
itscarnation10
it's carnation :
uzuri ni kwamba kila kitu kitawekwa wazi mbinguni๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-09-07 06:07:18
30
calkhanjoh
โš”๏ธ Lee_McViper ๐Ÿ’€ :
MBINGUNI TUTAJUA UKWEL 250K UNUNUE PRADO
2026-09-07 04:23:36
14
daddycool88
GoDWiLl :
naeza nikasema sina chakujifunza kutoka kwako mr misifa
2026-09-07 16:11:04
5
abdallahjuma902
BeCompetent Smart Learning :
video full ipo wap
2026-09-07 03:43:32
2
user5166241250285
Babuu auto parts :
maisha bwana anapanga mungu ukiwasikiliza sana hawa jamaa kuna muda wanakustress tu
2026-09-07 08:37:24
14
bi_rehema
Bi_rehema :
Mbona mtangazaji kama anamsuta๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-09-06 22:03:03
45
neywz
Ney๐ŸŽ๐Ÿ” :
Huyu kaka anaehoji hayo macho utaniuwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-09-07 05:34:11
24
thomas.king727
Thomas King :
mtangazaji anataka kucheka
2026-09-06 21:43:27
38
advocate2mwai
hagai mwaikenda :
kuna kitu umekiruka hapo hebu elezea vizuri
2026-09-06 22:26:28
56
.maxmoney
MaxMoney. :
Jinsi unavyo tudanganya hadi kamera man anatumulikia neno Impossible ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ Umejua kuwachota ๐Ÿ˜…
2026-09-07 07:15:48
13
shabani_store
SHABANI STORE :
Nimesoma comment zote
2026-09-06 23:07:41
8
_ema._jr
๐ŸEma_dรช_Jr๐ŸŒด :
Ipo hivi Dominic kwao hawana shida ndogo ndogo kwa hyo nyie sio kwamba kuna story hajawapa ila kwao wana hela
2026-09-07 09:46:47
17
To see more videos from user @amankafalume, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About