@khairiyyatvtanga: HUU SIO MSIKITI NI KABURI LA SHEIKH MUHAMMAD HUSSEIN AL MAARUFU SHEIKH MUHAMMAD RAMOLE NCHINI KENYA 🇰🇪

Khairiyya online Tv
Khairiyya online Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 September 2026 21:04:16 GMT
12857
302
51
103

Music

Download

Comments

esiraisha65gmail.com
maaddo :
Gud for Africans. Gud start
2026-09-07 11:49:47
0
answarmuhammad001
AnswarMuhammad001 :
huo si mskiti bro...Hilo ni kaburi la Sheikh Muhammad Ramole
2026-09-07 07:58:58
5
azizatty
azizatty :
Astaghafirullah Allah atuongoze umati Muhammad subhanllah
2026-09-07 09:15:45
4
bint.hassan59
Bint Hassan :
Yani mm mkenya lkn sijui huo musikiti
2026-09-07 10:27:34
2
migwelgraffix
Migwel Graffix :
instead ya kujenga kaburi hivi kama Mskiti si ni afadhali wangejenga Mskiti pembeni kando na hii kaburi watu waweze kuswali na kufanya ibada, sheikh angepata dhawabu nyingi zaidi,,,
2026-09-07 11:43:09
2
allyahmady5
allyahmady :
mbona mm nahis sisawa
2026-09-07 05:39:26
3
amtaf_umu
fatma :
hapa watu wengi wanafanya ushirikina kisa ni hili kaburi subhanllah
2026-09-07 08:02:26
10
salimsaad156
Salim Saad :
sasa kumbe nikaburi mbona unauita msikiti? hapo sio sawa
2026-09-07 06:57:56
3
zoyabae28
lil princess :
msikiti uko mbele yake hapo ni makinon road
2026-09-07 07:36:32
3
saidwako48
Ustadh Said Wako :
Uko sehemu gani ya Kenya?
2026-09-07 06:53:30
0
suffi.hassan1
Suffi Hassan :
MASHA ALLAH.... mola atupe barka zake
2026-09-07 10:43:39
1
salimjamadar0
Shalem Bin khail AL-Mandry :
Hii si bidaa ,ila kuzuru kaburi la wazazi wangu ni bidaa, upuzi wa kuamini bila kujua nini msingi wa dini na historia ya dini matukio yake tumekuwa watuma wa fikra nasijui uhuru tutapata lini ufahamu?
2026-09-07 13:12:28
0
halma_001
ummu halma :
inna lillahi wainna ilaihi rajioun wakuabudiwa ni Allah pekeyake ☝️
2026-09-07 12:39:14
4
user0754884045
lostboyz :
kenya ipo sehemu gani hpo bro
2026-09-06 23:57:05
0
gafow8
gafow :
kama hujui uliza wanaojua sheik mkubwa hapo ni sheik mahmud nur bin abdirahman bin yussuf
2026-09-07 13:37:18
0
kibs672
kibwangam :
mackinon
2026-09-07 12:09:30
0
thuweinriyamy
thuweinriyamy :
Huo msikiti wa Mackinon Road?
2026-09-07 12:04:41
0
salimislam1750
Salim :
subhanallah
2026-09-07 11:19:56
0
athuman.bakari4
OSMAN ABU BAKARI :
Subhana Allah
2026-09-07 10:42:12
0
misheavypunch3
It is what it is :
haifai namna hii wangetaka swadakatul jariyah wangelikuwa watu wasswali na kufanya ibada
2026-09-07 13:39:14
0
adamibra1
Adam Ibrahim :
Hii ni maskani ya watu wa maulidh
2026-09-07 13:49:45
0
abu_turaab001
ابو تراب :
subhana Allah mambo haya mumeyatoa wapi?
2026-09-07 10:50:13
0
mohammedsalim9603
TYGA_jr17 :
astaghfirullah
2026-09-07 11:27:35
1
ali8672142
@Ali50 :
je,camera man,hebu tuambia hili jambo ni sawa ktk Sheria ya dini
2026-09-07 12:16:05
0
To see more videos from user @khairiyyatvtanga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About