hapo kwenye kuomba msamaha sasa mimi ndo huwa nachoka😂😂😂😂
2026-09-07 06:19:52
55
its_isha@ :
Wa kwanza😂😂😂naombeni no za makeup artist😂😂😂
2026-09-06 21:56:23
26
natin 🥰🥰 :
Afadhali hao wanaomba msamaha wakishagunduliwa jmn shda iko huku kwetu kwenye ndoa za sunnah ukishamjua ndo kwanza anafanya wazi wazi🥹🥹ukisema anakwambia nina haki y kuwa n mke zaidi y mmoja maumivu yke mungu ndio anajua dharau n kejeli zinazidi mchpuko anazd kukudharau mume anaenda kwke mda anaotaka jmn. Da viva nakufatilia sana napata moyo ila daah ndoa 😰😰😰
2026-09-08 05:46:28
16
CARRY💋 :
Anivesary boy 😂😂😂
2026-09-09 18:04:05
10
its.shavy2 :
Ningekua namjua uyo makeup artist ningemtag aje ajicheke uku 😂😂😂
2026-09-07 07:58:15
31
Kelvin Oscar :
ila mc vivi bhna unanikosha unavyoigiza kulia jaman😂😂
2026-09-23 12:25:03
4
Raysha cosmetics 🦋 :
Watu hatulaliii😂😂
2026-09-06 21:56:38
7
Beliciana ❤️ :
🤣🤣🤣🤣unavyo Lia tu mm hoi
2026-09-07 16:34:16
8
Ms Chioma❤️🇹🇿 :
Dada Naitaji ukalibu wako unafundisha vizuri
2026-09-06 23:57:49
8
JAJA🖤 :
yaan mume wangu ajipange mi na mc viva bampa tu bampa🤣🤣
2026-09-07 05:50:53
14
Aira 💕Butterfly 🦋🦋😍 :
Apo kwenye waifuuuu🤣🤣
2026-09-07 10:26:55
10
fadhila kisuli vet :
wife
2026-09-07 12:33:23
9
candy🦋 :
Nilikua nasubir kwa ham muendelez😂😂😂
2026-09-06 21:57:50
8
Nono's maa🥰( BRINO ) :
nakipenda kipengele cha kulia 😂
2026-10-02 14:06:33
1
Last Born :
hapo ndo wanaponichoshaga wanafanya kwa furah alaf mwisho waifuuuuuuuu
2026-09-07 06:20:04
9
ms_wanjarah :
Mungu anilindie wew niwe mwali wako
katoro si utakuja mama?
2026-09-07 10:08:51
9
Nisha :
Mpaka ifike kuolewa kwangu nimeiva kwa darasa lako MC VIVA 🔥🔥uko fire
2026-09-09 23:28:15
5
Third Born🦋🧸🤎 :
waifu 😒
2026-09-07 16:43:58
4
user49143867596100 :
mc viva,mama mjengo ,mlima wa sayuni hapa nilipo nina sms zoote wanazochart mr na huyo ex wke na sijamuonesha dalili yeyote tangu mwezi wa tano mpk sasa huu wa tisa natamani nitengeneze group niziachie huko [Tears of joy][Tears of joy] maana nae ex ni mke wa mtu
2026-09-08 07:55:38
3
MIN.GRACE$🌸 :
Waiifuuu
2026-09-07 20:43:47
2
kiazi❤️ :
Siaolewa Ila ngoja nifwatiliy yatanisaidiya badaeee 😆
2026-09-11 09:37:45
1
Mary :
T3 ni zipi hizo jmn
2026-09-07 14:49:36
4
user9814305006117 :
ila viva unavyoanza kuliaa me pambeeeee 😂😂😂 yooh
2026-09-08 07:42:39
2
maunyunyu😘🫦💍 :
daah kwa nondo hizimbaka kieleweke asante somo 🥰🥰
2026-09-08 07:23:56
3
To see more videos from user @mirrsviva, please go to the Tikwm
homepage.