Ivo Ivo ndo Ruto pia ataenda nyumbani 2027 in Jesus name ,,kama unaamini sema amina😭😭
2026-09-07 11:34:24
917
Shannz Omondi :
wenye tunalia we have meeting here
2026-09-07 07:52:26
714
Anotaah :
who cried with me😭😭😭
2026-09-07 17:33:56
267
ochanda :
Sasa ss vnye tunaringa tutatembeza Kahawa kweli😂😂
2026-09-07 12:33:24
135
💦L🦋e🦋e🥰 :
even keke is going
2026-09-08 17:47:08
0
Jackie Mugo :
aki vyenye wanakuanga na heshima adi wakikosea mtu wanajua kuapologies 😭😭😭
2026-09-07 06:40:04
657
Jane #Nyaugenya💝 :
Endeni salama Sifuna akiwa Rais mtarudi 😔🤲
2026-09-07 08:33:09
203
justmealways :
I wish Ruto can reverse his statement...This move is going to cost Kenya more than Burundians.The Kenyan shilling is going to loose its value
2026-09-07 13:59:14
8
mamakesanare :
😭😭😭😭Mungu popote waendapo watangulie
2026-09-07 18:30:23
60
Dorriana nurse🇰🇪🇺🇸 :
hii imeleta picha mbaya sana Kenya,sisi pia tuko kwa nchi za wenyewe sasa tukiaza kufukuzwa huku Ruto atatupea kazi,hapa nae kasongo amesonga kupita kiazi jamani.
2026-09-07 10:57:52
101
Collins :
kesho naanza kuuza kahawa,,,70 bob per cup na mandazi n 50,
tukipatana tusibishane 🤣
2026-09-07 13:37:40
17
Blessed Damaa💜 :
wenye tumelia hadi tumeshindwa cha kufanya may our pockets never run dry😭😭😭
2026-09-07 08:14:28
48
Caroline Kawish :
na wakenya wakifukuzwa mahalo wako,,,,,this is not fair
2026-09-08 13:13:45
6
Denis Otieno :
Mr president uko sawa Apo nakubaliana na ww Apo wakenya wanakosa kazii juu yao
2026-09-07 07:28:26
12
WIPER☔☔☔ :
c ata.watanzania Walisema pia wakenya watoke kwao bona mnablaim Ruto
2026-09-07 06:03:52
22
focused women :
woi Mungu awapikanie na awaongose katika safari yenyu kwa jina la yesu cristo mifike salama 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-07 10:25:14
47
john mish :
Dem yangu🥰MTZ akuna mali naenda Ako na mtoto week Moja👌🙏
2026-09-07 18:54:59
7
Freddy 🇰🇪🇦🇪🇺🇸🥂 :
Wenye mnacomplain kujeni abroad, or even Gulf countries, ndio ujue maana ya chenye unaongea.
wa Kenya wanashinda deportation kwa kukosa legal documents, acha hiyo story ya kupewa time ya kurudi home. 🤦🏾♂️Kwa nchi ya wenyewe, you must have the required legal documents and Pay for Visa and Taxiii kwani hii ni choo. Hakuna mchezo na immigration laws. Ukikosa papers, unaweza deportiwa immediately. Hii mambo ya kusema upewe muda wa kujipanga kurudi home si kawaida kila mahali. Nchi ya wenyewe lazima uheshimu sheria zao na uwe na documents zinazohitajika. Period!
2026-09-08 07:42:52
5
Stephen :
😭😭😭😭😭😭 we Kenyans hii si sawa kabisa
2026-09-07 18:47:59
9
@mercyCY :
fundi wangu WA viatu husiende aki
2026-09-07 10:21:43
5
🔥Kya💖Rey😍 :
so kumaanisha my kutu remover ameenda😭😭😭walai Ruto nakam unitoe kutu😭😭😭😭
2026-09-07 10:46:26
39
Hellen254 :
ruto umefanya vibaya sana
2026-09-07 09:20:34
6
Hussein Mohammed Ali :
Kwa wakenya wenzangu
2. Kumbuka sisi pia ni wageni kwingine. Wakenya wako kila mahali - Uganda, Tanzania, Burundi, Rwanda, South Sudan, hata Marekani wanatafuta maisha. Tukiwafukuza wengine vibaya, na sisi tutafukuzwa huko.
3. Waburundi ni ndugu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Sisi ni EAC moja. Leo ni yeye, kesho inaweza kuwa wewe.
4. Uchumi mbaya haisababishwi na mtu anayeuza kahawa au mandazi mtaani. Tatizo ni kubwa kuliko huyo mama. Kumfukuza jirani maskini haituongezei pesa mfukoni.
5. Tuchague ubinadamu. Hata kama mtu hana kibali, anastahili heshima. Tunaweza kumuambia arudi kwa utaratibu, ampewe angalau wiki moja ajipange, kama wao wenyewe wanaomba. Wana damu kama sisi tu kama ulivyosema vizuri sana.
2026-09-07 16:09:09
47
Caro Ule Mmoja :
Lakini ruto hatawahi ona ufalme wa mungu, akumbuke ya kuwa kuna watu huko inje pia😭
2026-09-07 05:15:08
44
To see more videos from user @papaa3455, please go to the Tikwm
homepage.