@graced.girl: Wakristo wengi wanatumia muda mwingi kujifunza kuhusu aina za mapepo na nguvu za giza, lakini wanaufahamu mdogo kuhusu nguvu na mamlaka waliyo nayo katika Kristo. Tusijikite sana kujifunza upande wa giza kuliko kumjua Yeye aliyeushinda. 🙏🏾 Mjue Yesu. Jifunze Neno Lake. Tambua mamlaka yako katika Kristo. Kwa sababu nguvu tuliyo nayo katika Kristo ni kubwa kuliko nguvu yoyote ya giza. ✝️🔥 Usilipe giza umakini zaidi kuliko unavyompa Mungu. #fypシ #fyp #creatorsearchinsight #viral #trending
kweli dada ikijijua tu kuwa ww ninani hakuna kitakacho kusumbua maana ametupa mamlaka yote sisi🥰 mungu akubariki sana
2026-09-14 04:58:42
2
KITABU NIPIKE NINI LEO :
shetani ana nguvu kweli. ameshawahi kuvamia hadi kikao cha Mungu kwa suprise na Mungu mwenyewe akashangaa akamuuliza wewe nae umetokea wapi 😂😂😂😂
2026-09-07 10:10:44
0
the Ministry :
mnamchukulia poa sana shetani ila hamjuiii Paulo pamoja na yote aliyofanya paka kufufua lakini anasema yale natamani kuyatenda siyatendi bali nisyotamani kutenda natenda so sio kwamba tunampa utukufu ila mnatakiwa kujua sio dhaifu unavomfikiria
2026-09-16 14:54:43
0
etc Exodus KNox :
hapana hiyo ni Imani Yake.....usituweke sisi
2026-09-07 12:26:05
1
tycn :
Shetani anazo nguvu my furend 😄, we omba tu usiingizwe majaribuni mengine mwachie yy tu huyawezi
2026-09-07 07:37:05
0
Betty's :
Asante sana dada kwa ujumbe mzuri na wa muhimu kwa Wakristo kujua.Ukweli ni kwamba kujitambua ni suala la msingi mno.Imagine wewe ni mtoto wa mfalme na hujui utateswa hata na mtumwa.Tujijue kwanza sisi ni nani ,uwezo na mamlaka yetu halafu tuishi kwa amani na kujiamini katika Kristo
2026-09-07 03:57:48
3
GK_Events_Planner :
Umesema kweli MAMLAKA TUNAYO,USHINDI TUNAO,LAKINI USHINDI NI WA KUTETEWA. TUMJUE SANA HUYU YESU ILI TUWE NA HIYO AMANI!
2026-09-07 20:55:50
1
#Wakristo :
Uwezo wa kujua nguvu ya kumiliki vyote kwenye huu Ulimwengu ni kuzungumza ukweli ukiupiganisha na Fikra zilizopo kwenye Vichwa vya Watu.
Ukweli ni kwamba ukilitafakari Neno la MUNGU. Unakutana na Uwepo wa MUNGU ndani ya Mwili unaotumika Kufikiri kunakoleta ufahamu unaozalisha misimamo Sahihi kuhusu YESU KRISTO.
2026-09-07 07:54:12
0
florafrancisntaki :
ni kweli kabisaa..kumpinga.ni.kuacha
njia zake na kumuinua kristo.putity
2026-09-07 12:57:57
0
naah🥰 :
Amina
2026-09-07 07:14:48
1
God'son :
amen, mi na wewe tuna same mind,
2026-09-22 13:04:32
0
JJmrisho :
exactly but nothing is called 7spirits. anasema ile nguvu iliyomfufua kristo na sio zile nguvu. Spirit is one Holy Spirit and nothing else. ambaye huyo holy spirit is Jesus unlimited, with no limitations.
2026-09-19 09:59:39
0
SIMA J&N :
Anayeelewa Neno kama wew atakuelewa....an mtu anawaogopa wachawi na kuwataja kila saa...
2026-09-27 18:39:42
0
Agness Nkugwe :
Ubarikiwe Unaamini kama mm na siogopi kitu
2026-10-08 13:42:41
0
Pastor Yohana Tozo 🇹🇿🇹🇿 :
Wiki hii ndo somo nilikua nafundisha tangu wiki Jana
2026-09-26 16:59:25
0
Prophetic Watch Swahili :
Amina
2026-09-10 07:51:53
1
peterundole :
Ni kweli, tutumie muda mwingi kumjifunza Mungu kuliko hizo marine spirits au mapepo.
2026-09-11 06:26:12
0
francoshadrack :
sister nabarikiwa sana na hiki unachokifundisha keep it up, umebarikiwa mno
2026-09-24 20:27:12
1
Alex Sarumbo :
Yesu ananguvu sana kuliko chochote ubarikiwe dada
2026-09-14 09:52:56
0
majumbu boas :
oky
2026-10-20 00:24:26
0
Pastor Yohana Tozo 🇹🇿🇹🇿 :
Na Jana Nimemalizia series uhakika mwamini Ana nguvu sana ! Na shetani yupo chini sana huhitaji kujua upande wa Giza wanafanyaje kazi jitahidi kumjua baba yetu na kua na taarifa nyingi kuhusu yeye
2026-09-26 17:00:40
0
Danieli Nsumba :
shetani hana nguvu lakini ujuwe ulimwengu wa roho unakanuni
2026-09-16 05:07:39
0
Hapilicious :
Be blessed 😇
2026-09-07 16:12:26
0
To see more videos from user @graced.girl, please go to the Tikwm
homepage.