MAASHALLAH HUYU NDIO SHEIKH WETU MUHAMMAD BACHU 😂😂😂
2026-09-07 07:16:58
28
abdulkujaa4 :
Aya ya Adhuhuri rakaa nne iko wapi
2026-09-07 12:09:08
3
%suparster% :
asanteee
2026-09-07 11:10:36
1
m.l :
katika misingi ya fiqh Ibada yoyote ni haramu mpka kuwe na uthibitisho wa uhalali wake ndo inafanyika na chakula chochote ni halali mpka kuwe na uthibitisho juu ya uharamu wake
2026-09-07 14:59:28
7
Alhamdulillah :
speaker za msikitini mbona wazitumia
2026-09-07 15:06:55
1
bin uther imin :
mtume ameshiria kwasababu amesema jiepusheni na uzushi katika dini uzushi mtume alio sema ni haya mailid
sasa uswali uweke 4kwani hatykufundishwa namna ya kuswali ukieka four itakua umefanya BIDAA Kwa sababu tushafahamishwa
2026-09-07 11:23:14
4
kaseem :
kwani maulidi ni ibada au sherehe tu zakumsifu mtume
2026-09-07 12:53:29
1
Hk :
Huenda ni kweli ila sheikh mwenye mamlaka ya kuharamisha ni allah pekee weye neno zuri ni useme Haifai maulidi ni si kusema haramu
2026-09-07 14:20:43
3
khamisomar614 :
anasema hakuna hadithi wala qur an inayosema maulidi ni kharamu ilo ndo jibu sahihi yaliobakia ni maoni yake binafsi sisi tunafuata qur an na hadithi ikiwa haijasema ni kharumu tunakubali
2026-09-07 11:57:15
3
KaKa Puti :
Mfano wake wa swala kakosea kwasababu tayari kuna maelekezo namna ya kuswali
2026-09-07 14:45:12
1
Hamisi Nalinga :
huyu kumbe mtoto wa sheikh bachu maashaAllah
2026-09-07 09:12:51
2
Mr kim :
aaah nacho mbn leo unaniangusha Kwa hoja Zako unazoweka
2026-09-07 11:54:03
1
said :
hakuna dalili Kwa sababu hayapo
2026-09-07 11:14:01
2
joë t :
Ndo kwanza leo kaongea jambo zuri
2026-09-07 13:22:52
2
shaaban :
Maneno ghali sana, ALLAH akuhifadhi sheikh
2026-09-07 14:49:47
3
kanunisaid :
leo ndio jamaa kaonekana ana akili Sasa maulidi hayaja haramishwa alafu unatoa mfano wa swala ambayo zipo taratibu zake za swala
2026-09-07 12:51:54
1
Buhari_Masudi85 :
duh Hawa mabwana Wana soma elimu ya usuli fiqhi kweli dah, sio kila jambo Lina tajwa kwa jina kwenye Quran Wala hadith ya mtume Ili ulipe hukmu kua Haram hizi bidaa na sheria mpya kwenye dini, mfano wapi mairungi IME tajwa kwenye hadith Wala ayat ya Quran ... elimu na uadilifu ni muhimu sana kwenye dini
2026-09-07 16:38:30
1
Haroun rasheed :
sadaktaaa
2026-09-07 11:06:23
1
fere khamis :
Dah 😅🤣 jmn tusome
2026-09-07 19:33:30
0
omi11 :
Maulidi someni vzr kama kawaida yasomwe t mana ndo alau wengne wanapata kumbukumbu nzr ya mtume SAW
2026-09-07 20:26:21
0
moon :
sasa kama maulidi si haramu mnapinga nn?
2026-09-07 20:16:40
0
Itara Twalaha :
kwan mtume alielimisha tiktok
2026-09-07 20:06:54
0
To see more videos from user @shekh.rasi, please go to the Tikwm
homepage.