@jamesfact_: ###tiktokeastafrica🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇹🇿 #tiktokkenya #fyp #fyp #tiktoktanzania

James fact
James fact
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 05:13:05 GMT
298686
32201
373
1501

Music

Download

Comments

baby.kassmu
Baby kassmu🥰🥰 :
mungu mlaan alie kua mume wang
2026-09-07 07:57:38
59
mama.nu62
mama nu😘 :
nilizalishwa akaniambia nimsubili atanioa nimemsubili kwa miaka mitano 😅😅 siku moja asubuhi nimetoka hospital akanipigia simu akiwa na furaha na bashasha akaniambia Mimi nimetoka kufunga ndoa juzi hahahaha naingia watsap nakuta kaweka picha dp ya harusi oyaaaaaaaaaaaaaaaaaa😭😭😭😭😭 nililia usiku mzima asubh nikarudishwa tena hospital kulazwa ila Mungu ni mwema
2026-09-07 09:39:55
67
paulinenakei
🦋 P❤️L🦋💫 :
Mungu naomba muadhibu baba wa mwanangu 💔💔💔
2026-09-07 10:14:14
53
i_am_cecie
Cecie ❣️ :
Zaburi ya 109 hamuijui nyie🥺
2026-09-09 20:05:47
6
mysoulnaah
💦My Soul Naah❤️🔐 :
Kufa na kupona dada angu 😁
2026-09-07 05:16:27
32
victoriamallya
Victoria Mallya :
Mi natamani wafe wote mungu ikikupendeza
2026-09-07 06:51:34
24
mwanahamis.idd2
mom hayman😍 :
mungu nipe uvumiluvu maana nnadukuduku😔
2026-09-07 11:13:45
20
mercii211
Mercy Madaba :
Mungu mueke hai Mme wangu japo hatupo pamoja Ila nampenda sana na pia Naomba abadilike akumbuke familia yake japo kidogo😫😫😫
2026-09-08 09:00:52
8
mamymamy337
Mariony254 :
Ndio maana wanalaana wanaume wasio hudumia watoto wazidi kuteseka hadi wafe kabisa😭😭
2026-09-07 10:33:34
15
mariumsamsoni
Marium Samsoni :
mungu musamehe mme wangu
2026-09-10 12:32:24
2
nicky.sparta4
🦋Nicky Sparta🦋 :
Mungu naomba muuwe baba wa mtoto wangu 🙏alinionyesha dust😔😭😭😭
2026-09-07 09:13:20
8
user590080683951
athnaty dev :
maumivu niliyoyapitia nayajua mwenyewe tu
2026-09-08 22:43:34
4
momnicol08
momnicol08 :
Mungu utasema nae ww mm binadam nmeshindwa 🙌🙌🙌🙌🙌
2026-09-08 22:36:59
4
mwanaidi.chunley
Mwanaidi Chunley :
mungu asifanikiwe maisha yake yoteeeee
2026-09-11 21:59:42
1
sabrina92371
sabrina :
nikweli wafe kabisaa
2026-09-10 23:40:54
1
zawia75
zawia :
Sina chakusema mungu yupo 😭😭😭
2026-09-09 20:05:42
1
ephrahmandy
goldencosmetics&jese services :
labour unaweza ingia lakin kutoka ni kwa neema ZA MUNGU
2026-09-07 17:48:28
8
dorice024
mama G :
Mwenyez mungu amlaani huyo kiumbe
2026-09-08 14:05:54
2
eliza.maganya
Maganya :
pia kuna kufa na kupona
2026-09-07 07:41:17
3
glory.massawe8
MISS GEE :
Mungu Ambariki mwanaume aliyenifanya nikaitwa mama maisha ndo yamefanya mm na yeye tumeshindwa kuwa pamoja ila Mungu ambariki apate mke mwema🥰
2026-09-09 14:57:37
1
agnessmichy
A❤️V :
Mungu amlaani godlove masamaki 🥺
2026-09-07 17:17:22
0
monicaandew
chee mon :
kuna wanawake pia wanawastres wanaume mpaka unawaonea huruma
2026-09-10 06:46:30
1
sophiapascal07
sophia pascal :
😭😭aliniambia nimepoteza nuru tofauti nazamani alienda mbali akasema kwasasa nimechoka ooo dear God usikie maombi yangu usinyamaze
2026-09-09 19:15:43
1
user8782740282651
🎀husna🎀🧚🧚🌹 :
nani kazeeka kama mimi
2026-09-08 16:47:56
1
To see more videos from user @jamesfact_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About