@asmah_jamida: BISMILLAH AMIN GU UU GÜ TULIPOKUWA TUKO KWENYE EVENT ALINAMBIA ASMA NAKUFATILIA SANA NA NIKITOKA HAPA LAZIMA NIPITE @asma_staples KUKUSAPORT NIKASEMA HUYU NI KIONGOZI NAJUA AKITOKA HAPA ATAKUWA NA RATIBA NYINGI ANAWEZA SAHAU NA KAMA MNAVYOJUA YEYE NI MBUNGE WA VIJANA RATIBA LAZIMA ZIWE NYINGI UPANDE WAKE ILA RATIBA ILIKUA PALE PALE KAMA ALIVYOSEMA AKAFIKA DUKANI KWETU ALHAMDULILLAH @zainababdallah93 SINA NENO KUBWA ZAIDI YA ASANTE ULE MOYO MWEUPE NILIOUSEMA BASI UPO NDANI YA @zainababdallah93 SIKU UKIPATA BAHATI YA KUKUTANA NAE UTANITHIBITISHIA HILO @jumaa_aweso ASANTE SANALAA NA ALLAH AWATUNZE INSHAALLAH AKAWASIMAMIE KWA KILA JAMBO LENU INSHAALLAH AKAWE MBELE KWENYE KILA HATUA YENU😍🙏🙏🙏

Asmah Majid
Asmah Majid
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 05:26:00 GMT
252121
26505
351
125

Music

Download

Comments

nyamizimalegesi
Nyamizi Malegesi :
nimegundua usichana wangu sikuutumia vizuri!!!
2026-09-07 06:06:18
314
mwalimulwaitamajr
lwaitamajr95@ :
eh uyu mama ni mzuri hatariiiiii
2026-09-07 06:33:48
102
raymami2
raymami :
Mbona watu wengi tuh wanapambana tena kwa shida na hamuwasaport esma star anajulikana kila mahali anapambana nini em acheni
2026-09-07 07:54:32
88
salmafaraji375
salma faraji :
ukiwa na roho nzur lazima ubarikiwe
2026-09-07 07:15:31
88
user7368771308598
m :
God bless you Sister🥰
2026-09-07 14:03:43
0
magesa.charles7
Magesa Charles :
PANDE zipi ATHMA? , mi nko Bunju
2026-09-07 11:08:31
0
hamomis1
Hamomis1 :
Big up Asma love u❤️
2026-09-07 07:49:51
0
kiuno26
kiuno :
yaani mikoani anatuma ni kwamba anatuma kisamvu mwanza?
2026-09-07 06:44:29
79
kipenti
Kipenti :
continue winning Asma
2026-09-07 12:04:07
0
jojonad108
🌹 :
Asmah uwe na utulivu ss wa kusikiliza kabla ajamaliza kuongea ww unajibu haraka haraka unafanya maneno mengine anakatisha😊napenda sana hustle zako keep it up gurl👌
2026-09-07 12:25:29
19
juma.565c
JUMA...... :
sasa mnasapoti vijana ambao teyari wamesha toka mnawaacha ambao bado wako chini dah!😳😳
2026-09-07 16:49:18
5
samodiso
Fashford queen 👑👑👑 :
nilichogundua na kujifunza ni kwamba inatakiwa tupambane kwanza japo ni kwakiasi kidogo ili wengine wenye uwezo wa kukusaidia waone pakukusaidia Kama hivo kwa asma
2026-09-07 06:23:07
69
favourskao
Favourskao :
So emotional asee
2026-09-07 06:07:08
0
unstoppablehusler01
UNSTOPPABLE HUSTLER 😎🇹🇿🇦🇪 :
asma uwe unatulia MTU akiwa anaongea unaitikia mpk bas 😂 but hongera mmy
2026-09-07 11:05:41
6
saadamusigwa828
gyt :
anza na ulichonacho mungu ataleta watu wengiiiiii ambaoo watakuvushaa popoteee paleeeee
2026-09-07 07:35:27
18
mcmanasee
Mcmanasee :
Usijimalize esma please 😂
2026-09-07 06:04:16
8
amyra_designs_01
Amyra🦁🦋🩺💦✨ :
❤️❤️❤️Utafika mbali Sana Da Asma🥳
2026-09-07 05:56:52
15
minah7846
minah :
Huchelewi kulia Asmah 🥰🥰🥰
2026-09-07 05:43:31
24
aysher9621
Aysher💞 :
so proud of you Asma Allah azidi kukufungulia milango yake wallah ❤️
2026-09-07 07:21:32
13
little_dangote1
🌴Little_DR🌴 :
asante nyingi sana😂
2026-09-07 05:56:40
8
veronicathobiass
Beby cute💖💖 :
mungu azidi kukulindanda dada yanngu Asmah
2026-09-07 05:54:28
7
neyleemapesa
Neylee Mapesa :
Nakupenda bhana Asma Mungu akutunze🥰
2026-09-07 05:45:01
13
user9076675968311
@pretty Asia🦋💙 :
mungu aendelee kukupigania dada nakupenda🥰🥰🥰
2026-09-07 05:30:10
9
user1104198335920
Mama J :
mungu akubariki
2026-09-07 05:44:15
7
To see more videos from user @asmah_jamida, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About