@chiefgmedia: Aya Hapa Maoni Yake @chiefgodlovetycoon Mtoto mdogo mwenye Pesa Nyingi kwa Wale Wote wahamiaji Wote Waliofukuzwa Kutoka Nchini South Africa
mm nipo South na nimejenga dar huwa narudi na ninafamilia yangu Hao waliochoka walijisahau tu
2026-09-07 17:02:37
12
habonimana nadia :
mim nimtu waburundi unaongea kweli
2026-09-07 14:47:28
6
mnyama duma :
nikweli kabsa uposahihi 🤝
2026-09-07 11:04:52
8
St@rblizer :
bitter truth
2026-09-07 10:38:15
2
Malikia wa street :
Twasubr wakenya[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-07 16:14:00
0
AGIZA BIDHAA DUBAI :
Sijawahi kukusapoti kwenye jambo lolote ila leo nakuunga mkono
2026-09-07 15:40:38
8
𝐄𝐦𝐬𝐚𝐦𝐏𝚛𝚘 :
kwel south wako sawa
2026-09-07 12:55:38
7
ReadyDabage :
Pengine walitamani kurudi lkn uwezo walikuwa hawana wasaidiwe kisaikolojia na wapewe hifadhi mpaka wajitambue hadi huruma
2026-09-07 14:24:11
7
IVAN (777) :
Kaka ukwel I huo watu hawataki kuusikia kabisa
2026-09-07 09:11:38
7
user30743291767 :
kwanza kumsaidia mtu haijalishi yuko vp huyo mtu because hata hapa tupo nao ndugu zetu wako hivohivo
2026-09-07 11:48:19
2
dog terry :
nikweli
2026-09-07 12:34:55
2
🌸💗Ammie💞✨💫 :
🤝🤝ata kama ndugu cwez🙌🏽
2026-09-07 17:57:11
2
a m a n d o tz :
huu muda siyo waku kuwacheka wala kuwabeza ila nimida wakuwapa phelapy na kuwapa skills na more expilices za maisha imesha tokea hawakupenda kurudi wamechoka
2026-09-07 15:04:23
6
acha maneno turiza moyo :
sijawahi kukuelewa hapo umeongea point SANA
2026-09-07 18:56:32
1
MeekBoy99 :
siwez kumpokea hata kdg mm
2026-09-07 16:12:30
2
Libe Masai :
point sana
2026-09-07 07:52:22
3
Flomena Ruben :
kwenye utafutaji kuna kupata na kukosa mzee na stress huja kipindi ambacho mambo huwa magumu kwaiyo ndoto ya washkaji ni mafanikio ila imekua bahati mbaya hawajafanikiwa ila walifika kutafuta na sio kuvuta unga kaka ..... ndio maana tunasema haya ni maisha tu leo wewe uko na nafasi lakini hujui kesho yako... na istoshe wakipewa moyo wata recovery na wataendelea kupambana watafanikiwa muda bado upo Kwa Imani. USIWAKASHIFU WATU IKIWA WEWE HUJUI KESHO YAKO (EXAMPLE NEPAL ILIBADILISHWA GHAFLA BAADA YA KUDHARAU IMAN ZA WATU NA LEO 60% WAMABADILISHA DINI KWA KUTAMBUA MUNGU HASHINDWI KUBADILISHA MATOKEO MZEE)
2026-09-07 16:42:30
2
FUNDI_WA_DUNIA🇹🇿🇿🇦 :
😂😂😂njoo
2026-09-07 11:58:35
1
francis charles :
sure
2026-09-07 11:29:52
1
To see more videos from user @chiefgmedia, please go to the Tikwm
homepage.