Eeeeee mungu tusaidiye tusibaki .twende wotepamoja.
2026-09-07 23:00:28
8
berry❤️cuttiez🥰🥰 :
mung tujalie mwisho mwemaa
2026-09-14 11:37:32
8
B MAN :
Hivi kaka kwanini mwenyezi mungu anatupitisha katika hii mitihani na sisi ametuumba mwenyewe
2026-09-07 14:09:28
1
EDDY SAFARI KENYA :
2 Wathesalonike 2:3-4
3 Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yo yote; maana haiji, usipokuja kwanza ule ukengeufu; akafunuliwa yule mtu wa kuasi, mwana wa uharibifu;
4 yule mpingamizi, ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu ama kuabudiwa; hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu, akijionyesha nafsi yake kana kwamba yeye ndiye Mungu.
2026-09-16 04:25:34
0
SAKEEN.001🌍 :
Kaka me naomba usijitandaze kwa mitandao tuu naomba usome kwa kina dini zote mbili Islam na Ukristo kaka
2026-09-07 16:39:04
0
Lucas de drama255 :
Tufafanulie zaidi kaka maana mbona mi nishaingiwa hofu toka mwaka jana 😳😳😳😳😳😳😳😳 nahofia siku ya unyakuo nikiachwa mimi nitakua wapi
2026-09-11 21:18:50
0
Elly :
nasaport sana kazi yako mungu akubariki
2026-09-07 11:30:29
2
Lilian :
ee mungu tusaidie tufike kwako mbinguni sis niwatoto wako wapdndw tusaidie baba ye2
2026-09-07 22:51:05
1
Marry mrema :
Amen
2026-09-07 19:08:46
1
lupapape :
HAKUNA UNYAKUO ILA KUNA RESURRECTION OF RIGHTEOUS DEAD KISHA WAUNGANE NA RIGHTEOUS LIVING KISHA WATA MLAKI BWANA YESU KRISTO MAWINGUNI .. UNYAKUO NI NADHARIA
2026-09-13 19:36:47
1
Allicia :
staki hata kusubiria dhiki kuu mm bora kuishi maisha matakatifu mapema unyakuo ukija niondoke mapema kuliko kusubiria weeee
2026-09-10 09:13:47
2
Elly :
watu hawaaminitu kuwa yesu nikweli
2026-09-07 11:30:49
2
Richard Mussa :
amina
2026-09-17 07:46:11
0
yohana :
aminaa sana
2026-09-16 18:12:39
0
Jefu🇰🇪 :
iyo ya unyakuo baada ya unyakuo ukichunguza vizuri hapatakua na kupona yani wale wata baatika kuingia kupitia unyakuo basi ndo wame faulu hakuna wengine watafaulu tena
2026-09-17 05:21:30
0
Bety :
Mimi nta.nyakuliwa unyakuobwa kwanza maana MUNGU anajua kbsaaaaaaa uo uvumilvu mi cnaaa
2026-09-16 09:25:26
0
EDDY SAFARI KENYA :
mpinga kristo ni kanisa la roma ni ofisi ya askofu wa kirumi.. huyu ndiye mpinga kristo halisi ambaye Paulo alimzungumzia.. ameitwa mpinga kristo, mpinga mizi, na pia ameitwa ajiinuae kwa kila liitwalo Mungu na kuabudiwa na majina mengine mengi.. kwanini anaitwa majina haya kwasababu yeye kazi yake nikubadilisha kila alicho halalisha Mungu yeye ana pinga kwamfano Mungu amesema ikumbuke sabato na kuitakasa yeye anasema hapana kwa mamlaka yake ya kiungu anaihamisha juma mosi na kwenda siku ya kwanza ya juma juma pili.. na mambo mengi amebadilisha.. na pia fundisho la unyakuo wa kimia kimia pia limetoka huko roma nifundisho linalo wafundisha watu kwamba hatakama watakosa unyakuo wa kwanza wasijali kwamana kuna unyakuo wa pili kwaiyo watu hawaogopi kufanya dhambi kwasababu wanajua kuna second chance.. uongo tena uongo washetani.. tutakapo mwona Yesu mawinguni ndio itakua mwisho wa kila jambo na hapo Yesu anasema atatuma malaika zake kunyakua waumini wake na kumlaki Yesu mawinguni.. na mpinga kristo yuko hata hivi sasa anafanya kazi.. Mungu atusaidie sana ili tueze kuelewa neno lake.. AMEEEN..
2026-09-16 04:18:05
0
mahela the don :
Mungu nijarie mwisho mwema
2026-09-15 20:55:26
0
Gédéon :
kweli kabisa
2026-09-07 12:14:28
1
To see more videos from user @david.kiwool, please go to the Tikwm
homepage.