@veriafya: Watoto wanaopoanza kuhusiana na Wengine hasa katika Mazingira yenye Watu wengi, Mathalani shuleni, baadhi yao huanza kupata Matatizo ya Mfumo wa Hewa yanayojirudia mara kwa mara, hasa Kikohozi na Mafua. Katika hali hii, Wazazi wanapaswa kufuatilia kwa ukaribu afya ya Mtoto, pamoja na kujitahidi kurekebisha aina ya vihatarishi vinavyoweza kupelekea kujirudia kwa hali hii. Zaidi, sikiliza ufafanuzi wa Kitaalamu uliotolewa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Watoto, Faraja Kambona kupitia kipindi cha MediCounter cha UTV, Azam Media.
Veriafya
Region: TZ
Monday 07 September 2026 06:19:20 GMT
Music
Download
Comments
Heisenberg jr :
congratulations 👏.. chief Dr. kambona MD, pediatrician.
2026-09-07 12:08:44
0
Leah :
Wangu mm sku ya shule tuu hasubui ukooa sana na mafua.. ila jumamos jumapili au likzo waga hawi na ili tatzo pumu nishampma hana
2026-09-07 08:43:07
1
💞💕💞neyla msegu 🥰🥰🥰🥰 :
wakwangu hana shida yyte ila kukohoa hajawahi kuacha
2026-09-07 13:15:40
0
Ms Firdaus🦋🦋🦋 :
jamani hii shida anayo mtoto wangu mpaka nimechoka hatakama alipo zaliwa alikuwa na kifua ila alitibiwa akapona kabisa shida alipo Anza shule tuu
2026-09-07 09:19:15
4
Madam lawyer :
Nini kifanyike Sasa Dr
2026-09-07 15:24:54
0
user2324348431150 :
mm mwanangu nilimuanzaisha shule alikuwa anaumwa aliumWa mwaka mzima nikaamua kumuachisha shule akapona bila Dawa. kumbe yaya Kila mtoto anayeumwa anapata Kila anayeumwa anapata. saivi ana mwaka hajauimwa.
2026-09-07 13:51:20
0
user8500980267651sumiya nach :
hata wa kwangu shule zikifunga haumwi kabisa kifua zikifungua tu tatizo limarudi tena jmn shida nin
2026-09-07 12:40:33
0
Nyangasa shopping hub :
Mwanangu alikuwa na hii shida ya kifua cha mara kwa mara,nkaacha kumpa soda/juice za viwandan akienda shule mara nying nlikuwa nampa Azam embe nilivoacha kumpa na kifua nacho kikaacha sqhiv yupo vzuri.
2026-09-07 12:57:51
0
Eng.MECKY NJAU :
kweli kabisa
2026-09-07 07:16:49
0
Simbamwene :
jamani daktari huonekana tu,,tofauti na wale wanao hubiri kisukari humu tiktok hao cyo madaktari kiukweli
2026-09-07 11:28:43
3
lightnessmmbando83 :
kweli Tena kinakuuwa kikavu
2026-09-07 13:38:25
0
Alice berenardo :
😳😳😳
2026-09-07 11:04:33
0
Qunnie26 :
@Naima
2026-09-07 15:04:52
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm
homepage.