@director_chris92: BIGEST USED IPHONE AND MACBOOK MARKET SHENZEN CHINA REVIEW ✅🔥

princess jasmine
princess jasmine
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 06:31:34 GMT
123209
6859
135
1807

Music

Download

Comments

bhoshotole
bhoshotole :
Hii ndio sababu sinunui simu inaitwa full box😂😂😂😂
2026-09-07 09:40:57
131
iamcleopatricia
Ms Bee🌹 :
2M bando afu unakuja kuuza moja 2.5M 😁
2026-09-07 09:07:16
160
user8379202620701
The_Mountain914 :
hamna fullbox bongo
2026-09-07 13:11:01
55
tynest56
fine as wine :
Ushaenda Korea Younsun ??😂😂 electronic market ?
2026-09-07 16:29:19
2
mr_china_mobile_phone
MR CHINA MOBILE PHONE :
hizo ni no test nyingi ni mbovu na gharama zake zakutengeneza ni kubwa. swali lakujiyluliza kama mchina amekuuzia mbovu wakati watengenezaji wapo yeye sio mjinga. hivyo hao wanaonunua wakifika kwa mafundi wanaweka vioo copy,mabattery copy yan hizo ndo refurbished promax kuzima ni sekunde. na simu og china hasa iphone,samsung na simu nyingi ambazo sio brand kubwa ya china ni ghali ukitaka genuine ilabukitaka hizo refurbishe za vifaa copy bei ni cheap.
2026-09-07 11:42:54
36
agizofabrice1
God first 🙏 :
naomba whatsapp number yako
2026-09-07 17:46:10
0
chizajr_
Chiza :
The best informative video ever👏🙌🔥
2026-09-07 16:13:55
0
m_bb895
ᥫ᭡🇺🇸 :
Ndo maan sinnui simu bongo😂
2026-09-07 12:19:40
15
ley0885
Ley_beautfulscents🔥 :
Tumeisha
2026-09-07 13:36:39
1
salim85yahmad
Salim Yusuf Ahmed :
Hapa bi Dashatou ?
2026-09-07 13:27:05
1
merlin_jr23
merlin jr :
mmh mmh.. kaka mimi nipo Beijing..ntapata wapi cm
2026-09-07 09:15:17
3
k.antho_
BestPrince 👑✓ :
Kwa hiyo hao wote hawawez kutoa icloud😳🥺
2026-09-07 15:42:08
5
tammysalum
Tammy Salum :
Nunueni Infinix tu haya yote hamna😅
2026-09-07 18:41:20
1
adam.ngomoy
Adam Ngomoy :
full box NI mlimani Tu 🤣🤣
2026-09-07 18:15:16
3
mr_quality_beichee
MR QUALITY BEI CHEE📍 :
duh huku milioni mbili unanunua simu moja
2026-09-07 08:07:05
8
liojoas
Leo :
Nyie bongo tunapigwa jmn kah yaan kitu kinanunuliwa used inatengenezwa kinakuwa kipya kinawekwa kwenye box kinakuwa slid alafu unauziwa 1 Mil 3 na anakwambia ni full box😂😂
2026-09-07 16:48:50
2
money.talk76
MONEY TALK :
ndo KC anachukua hukoo
2026-09-07 12:55:10
2
empiretechtz
Empire Tech 🉑️ :
Sawa, Return utaziweza mwanetu 😁
2026-09-07 09:33:36
4
iamhans__
M̷r̷ :
watching on my refurbished phone
2026-09-07 12:26:00
4
frankhaule
frank haule :
hahahahaa
2026-09-07 12:56:43
1
To see more videos from user @director_chris92, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About