@islamicswahilinet: EWE ALLAH SW TUNAKUOMBA UTUEPUSHE NA MOTO MKALI WA JIHANAM. ALLAHUMA AMEEN Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA.
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Monday 07 September 2026 07:18:52 GMT
Music
Download
Comments
suma marobo :
Allah Akbar
2026-09-07 20:25:02
0
sayyadhukhal12 :
آمين
2026-09-07 14:30:49
0
Ali Aboud :
Amin
2026-09-07 11:49:26
0
💖هجرا 🎀 :
Allahuma Amin
2026-09-07 12:18:35
0
Ammar98 :
allahu ma ameen
2026-09-07 09:39:45
0
JAMA TZ :
Allah atukubali
2026-09-07 07:32:42
0
Mack donard :
amen
2026-09-07 08:23:59
0
Ninja wa tanga🥷 :
🙏🙏🙏
2026-09-07 08:58:21
0
paul walker :
🤲🤲🤲
2026-09-07 08:33:24
0
Juma :
👏👏👏
2026-09-07 22:16:10
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.