@habaria_afrika: Hii habari was 100%. Sikutaka kui-confirm at the time maana niliona ni kama nitakuwa namsaidia Mwigulu. Na niwaambie tu Katambi nae atatumika kufanya ushenzi anaoufanya kwa Watanganyika wenzie, wakishamaliza kumtumia mtaona kitakachomkuta na tukubaliane mapema hakuna Mtanganyika kufungua mdomo siku Katambi atakapopotezwa na kina Abdul. Useful idiots!!!!! Na walitaka kummaliza akiwa Europe ili isionekane ni wao wamefanya ili waseme ni mabeberu wanataka ku-destabilize nchi. - Ameandika Mange Kimambi kwenye mtandao wa X.
hawa CCM kwann wanauana??😂 mbn wananchi wamewaachia wafanye wanavotaka, wamemove on na maisha yao
2026-09-07 08:39:00
33
Øfficially likiibøy Mpøle✌️🎬 :
Game changes 🥰🥰 political science we peleka moto 🥰🥰🥰 wapelekee moto 🥰🥰🥰 wameanza kutoana maini🥰🥰🥰 wapelekee moto wameanza kufukuzana uanachama🥰🥰 karibuni ukonga🥰🥰🥰 habari za kunitembelea gerezani usiku sitaki 🥰🥰 kama mtu ananipenda aje hapa mahakamani kuniona🥰🥰🥰 mpaka tuje tumalize mtakuwa mmechoka sana🥰🥰🥰 neno kukinukisha kwa mujibu wa sheria za tazania waeleze majaji ilikuwa inaashilia nini🥰🥰🥰 john mnyika ililenga kupambana naserikali juu ya uvunjifu wa sheria za uchaguzi 🥰🥰🥰 Katuga waeleze majaji je kauli hii ililenga kuvuruga uchaguzi 🥰🥰🥰 mnyika ni kweli kabisa ililenga kupinga uvunjifu wa sheria za uchaguzi ambao umekuwa unafanywa na serikali 🥰🥰🥰 Katuga waeleze waheshimiwa majaji ni nani alichapisha habari hizo 🥰🥰🥰🥰John mnyika ni waandishi wa jambo tv🥰🥰🥰 Katuga inaonekana wewe ni mjuaji kweli 🥰🥰🥰🥰John mnyika ndiyo tena ni mjuaji haswa na kweli kweli ni mjuaji kuliko wewe na Boss wako🥰🥰🥰Katuga naona muda umekwenda naomba tuahirishe tuwaachie kwa usalama wa barabara naona muda umeenda 🥰🥰🥰🥰 Mh Lissu anaulizwa na Jaji upande wa mshitakiwa unasemaje🥰🥰🥰 Lissu anajibu Sawa sina pingamizi 🥰🥰🥰🥰 Lissu ananyoosha mkono wake juu na kushangilia kisha anasema nimewamiss uraiani vp mmewambia watanzia namna nilivyo amiss 🥰🥰🥰 Lissu soon Iwill be back🥰🥰 Lissu yataisha tu🥰🥰🥰 Lissu anauliza ni nani anaesema Heche ndiyo anafanya mimi nakwama gerezani🥰🥰Wananchi wanacheka🥰🥰🥰 kisha Lissu anasema Mimi sina hatia siku zote wenye hatia ndiyo huwa wanakuwa waoga 🥰🥰🥰🥰 mimi sina hatia tena wambieni wakome🥰🥰🥰 Lissu kisha anasema Mimi nipo tayari kukaa gerezani hata kama ni miaka 10🥰🥰🥰 Kisha anasema mpaka haki itakapopatikana🥰🥰🥰kisha anawahimiza askari magereza jamani tuondokeni twendeni kisha anawaaga wanachama na wananchi kwa kishimdo xha kunyoosha mkono juu kwa ubabe wa sheria kichwani🥰🥰🥰🥰 Imeisha hiyo hivi kwa akili ya mh Lissu na mambo anayofanyiwa kwa akili ya kawaida wale mnaochunguza kesi ya kupigwa kwake risasi nado hamjagundua mfano mzuri alishambuliwa kwa lisasi lakini Mungu hakukubali kabisa roho yake itoke Mungu akasema ni bora Mja wanguapate ulemavu wakudumu ila stoitoa roho ya
2026-09-07 08:41:51
9
idrissamohamed16 :
Uchonganishi Unauweza Ila Mungu Hayuko Pamoja Nawe
Jiandae Kupokea Vipigo Vya Mungu
2026-09-07 08:29:02
14
Barriss :
ahaaaaaaaaaahaaaaaaaaaa mbona raha
2026-09-07 11:35:00
0
dunduka madunduka :
hivi hili bunge kwa nini lisipige kura ya kutokuwa na imani na Samia,kweli Watanganyikanyika tunakubali kutawaliwa na wazanzibar ?ni uoga au ndo kila mtu awahi chake!
2026-09-07 08:37:37
8
Longino Bwanchuju :
makubwa
2026-09-07 08:16:25
3
asnathsamwel :
Mungu 😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-07 11:32:52
2
braytonnorobeth1 :
Jamani m yangu macho tu. kikubwa nashukuru mungu ndani nimehemea debe la dagaa zamwanza watoto wanakula