@neemagospelchoir: Ahsanteni sana Familia! kwa niaba ya Uongozi wa Kwaya na Wanakwaya wote wa NEEMA GOSPEL CHOIR tunapokea salamu zenu za Pole. Kama umeguswa na Msiba huu, Tunaweza Kumsindikiza Mwenzetu kwa Sadaka ya Rambirambi kwa familia. Namba ya kutuma: 0756707070 Jina: Neema Gospel Choir Mungu awabariki sana.

Neema Gospel Choir
Neema Gospel Choir
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 08:00:39 GMT
56034
3576
103
35

Music

Download

Comments

neema.daniel70
Neema Daniel :
Naomba kuulizia ndg zangu. Huyo anayesolo ndiye alifariki???
2026-09-10 18:45:20
5
estersinkuya
estersinkuya :
Pumzika kwa amani dada mzurii wimbo wangu huuu nikianza kuimba hapa solo hii 🥹🥹🥹🥹
2026-09-07 08:04:47
16
witare65
user4375018812638 :
poleni sana aic duuh pigo kubwa
2026-09-08 03:18:59
3
mispina.eliudy
Mispina Eliudy :
oooooooh kumbe ni huyu jamaniiiiiiiiiiiiiiii poleni😭😭😭😭
2026-09-07 14:16:33
4
user9680456008012
Lucylight :
pumzika Kwa Aman mtumishi wa Mungu🙏
2026-09-10 07:05:54
1
juma.565c
JUMA...... :
Rest In Peace mpendwa huu wimbo naupenda sana...dah!
2026-09-07 18:58:17
1
philipomkwega
Chief :
Moja ya Wimbo wangu pendwa sana
2026-09-07 08:35:05
2
sophymisslaw
Sophie :
jmn mungu amlaze mahali pema huyu dada
2026-09-07 08:43:10
2
regnamwinola
REGNA mwinola :
Pumzika kwa Amani mtumishi wa Mungu.
2026-10-26 15:48:59
0
user6120299887042
happy🥰🥰 :
apumzike kwa amani😢
2026-09-07 10:37:03
1
grace.grey71
Grace Grey :
Ulale salama dada angu,mwendo umeumaliza
2026-09-09 20:39:52
1
neemasimone352
Katrina Simon :
mungu muweza awe faraja kwenu
2026-09-08 15:56:55
1
officialjuly21
user5550138423532 :
Pumzika Kwa amani Anna Zozo
2026-09-07 08:13:28
1
marry.zahil
Marry zahil :
Dada angu pumzika tu sina neno 😭😭
2026-09-07 19:30:09
1
nanyika3
Ms~Daisy🇹🇿 :
Nilikuwa nikiimba hii sehem najiona ni Mimi naimba jaman Rest easy mom🥺
2026-09-24 07:50:26
0
suzana.adam2
Napcbmk :
pumzika kwa amani
2026-09-11 21:26:54
0
saimonnuhu6
Saimon nuhu🎤✅️ :
Leo mi wakwanza piga like apo
2026-09-07 08:05:16
0
nanyika3
Ms~Daisy🇹🇿 :
Na alipungua jaman🥺🥺🥺🥺
2026-09-24 07:47:44
0
alephtav85
Aleph-tav :
used to be my fav song lala salama
2026-09-08 12:37:24
0
gullandgrace
Vannah sweet cakes usagara mza :
rip
2026-09-10 19:27:26
0
iblahimujohn0
iblahimujohn905 :
aisee Anna nazidi kumkumbuka rafiki yangu
2026-09-25 12:23:46
0
samungasa
Samu Ngasa :
mung akipumzishe dada ang ulkiuwa unasauti nzuri san pumzika kwa amani
2026-10-25 20:14:02
0
isacklucas995
Isack Lucas :
😭😭😭😭😭🙆🙆🤦 me nakosa Cha kusema duuhh MUNGU WANGU
2026-09-11 08:34:06
0
user3694994733331maria
Missria :
Pumzika kwa amani solo yako ilikuwa inanibariki sana
2026-09-11 18:49:29
0
makupa18
sarahbrown@💕 :
Pumzika kwa Amani dada
2026-09-07 08:05:53
0
To see more videos from user @neemagospelchoir, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About