@barcsel_apple_hub: Umenishtukiza..! Subiri na me nifute kwanza ndo ukague😂💔👍 #dar #mawasilino #ubungo #kahamatown #sinza

BARCSEL  iSTORE🇺🇸🛍️
BARCSEL iSTORE🇺🇸🛍️
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 08:16:36 GMT
24244
1677
68
1243

Music

Download

Comments

farhanswaleh
Farhan Swaleh :
eti anakuja simu yangu hiyo haya na ww lete yako! weeeh mi sio rahisi hivyo wewe nipe muda na mie nifute vyangu ndo nkupe 😅
2026-09-07 11:03:15
71
.jowzey47
.jowzey47 :
Surprise attack😂😂🙌
2026-09-07 11:10:42
18
her36463
@Simplywitness💟 :
Back to back😅
2026-09-08 08:50:03
0
mago.xe
𝐓𝐙 𝐌𝐀𝐆𝐎 :
tujipange wote kwanza 😁😁😁😁😁
2026-09-07 15:49:46
10
itc.azeez
azeez :
mimi nilikataa nikamrudia baada ya lisaa limoja tu nikamwambia tubadilishane na yeye alikataa😂😂😂
2026-09-08 06:21:29
17
_ricksmash
Smash🍀 :
Counter attack😂
2026-09-07 13:34:27
1
amnotyourgal_
AmnotYourGal :
Me nilipgwa nkaenda kituon alikuja kuniomba msamaha polce😂😂 sipendi ujinga wa kupgana na hujanioa et kisa simu
2026-09-08 12:46:40
6
wealthysoul_22
𝓦𝓮𝓪𝓵𝓽𝓱𝔂 𝓢𝓸𝓾𝓵🌹 :
Ni either mkubalianee wote muwe loyal ama wote mcheat🙌🏾
2026-09-08 19:26:47
1
merinah.kapella
Merinah Kapella :
Kila mtu awe na maandalizii😂
2026-09-08 16:45:31
0
rouhy183
Ride o die ❤️ :
hata kama hainakitu nakuaga na wasiwasi 😂😂
2026-09-07 19:42:18
1
neverm006
🧸 :
natafuta marafiki wa kuview status
2026-09-08 16:58:18
0
gloryabbie
Vivian🇩🇪(🇹🇿) :
Hahhahaha
2026-09-08 15:22:58
0
deedeekipotabo
Miss deedee🌺 :
Me bora tuachane kuliko kushika cm yangu😏
2026-09-08 16:37:31
0
kalosa._jr
KalosaJr :
Hii ndio vita ya tatu ya dunia mana kila mtu anakutana nayo😁
2026-09-07 18:36:30
0
To see more videos from user @barcsel_apple_hub, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About