@crownmedialive: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. Endelea kuwa karibu na mitandao yetu @crowntvtz @crownfmtz na tusikilize kupitia 92.1 Mhz DSM, ZANZIBAR & PWANI na DODOMA ni 90.5 Mhz. Pia unaweza kutufuatilia kupitia Redio Box/ Garden Live YOUTUBE channel yetu ni CROWN MEDIA na CROWN TV Chaneli namba 415 Kwenye Kisimbuzi cha Azam (DISH) #CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪