@q.mediatz: @dominic_mmasi ambaye ni mmiliki wa @room_of_jeans ametaja sababu ambazo zinapelekea Biashara za Wasanii wengi kushindwa kufika Mbali na kufa Dominic amesema hayo alipokuwa anafanya mahojiano na @amrisaly kwenye Podcast ya @letsimpactmillionspodcast Unakubaliana na Dominic kwenye hili?? #QmediaTz