@maguisratv: JAJI WARIOBA ADONDOKA GHAFLA WAKATI AKIHUTUBIA LEO #maguisratv #jajiwariobaadondokaghafla

MAGUISRA TV
MAGUISRA TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 08:30:35 GMT
57372
1749
212
313

Music

Download

Comments

sussana2322
Sussana :
Bro unacheka?? What is fun there???
2026-09-07 10:33:12
0
ngumijihoye6
ngumijihoye6 :
tunamuombea kwa mungu awe sawa
2026-09-07 09:06:02
56
ngosikenny
Chrisa :
mzee anaongea kwa hisia kali khs Serikali ya wauaji, mpka presha inapanda
2026-09-07 09:33:44
38
asaksaleh
ASAK | SALEH :
Kwanini kacheka sana....
2026-09-07 10:20:23
20
nicah.shedy
nicah shedy :
Mnang’ang’ania madaraka bn Hebu wazee pumzikeni 🥺🥺🥺🥺
2026-09-07 09:25:50
20
thinay_thinay
️Thinay  :
Ohooooo
2026-09-07 10:15:04
0
cathe7599
maggie45❤️🤍 :
kuna namna kwenye maik
2026-09-07 10:20:03
8
augustino.mallya
ENG : NICOLAUS ROCK :
Mungu amuepushe na lolote baya amen
2026-09-07 09:21:04
31
user2435391599768
user2435391599768 :
sasa hao wengine wanacheka nini???
2026-09-07 09:05:31
7
justinsamwel977
Justin Samwel :
ah wapen ajira vijana wazee mpumzike ona saa
2026-09-07 09:54:12
17
muxtanzania
organ :
katika wazee wote mimi kwangu huyu ndo mzee ambae hajawahi kuwa mnafiki...
2026-09-07 10:12:28
18
edy.tozy
EDY TOZY :
mzee pumzika hii dunia utaiacha ww kaka haitakuacha ww
2026-09-07 09:52:06
6
immaculate.batrom2
Kylebatrome🥱 :
maiki hiyo
2026-09-07 10:47:46
1
carensabuni340
Caren Sabuni :
mungu mponye hyu Hana shda na ss
2026-09-07 09:24:03
5
user3045768817146
babyviana😉 :
kuna mtu nimeona anacheka 🤣
2026-09-07 10:17:43
1
trumpo16
Hope mc :
uyo Mzee anaecheka ...ni nini hasa kilichomfurahisha??
2026-09-07 10:27:31
1
kucha086
kucha :
mzee tulikwambia mapema jaman usiende kwenye mikutano yao baba jaman. heemungu mlinde baba na baya lolote lile
2026-09-07 09:28:02
7
brunomafuru
Bruno Mafuru :
pole mzee wangu
2026-09-07 11:16:49
0
devissamuel345
Davis samuel :
mzee wetu,naomba mungu akulinde,daima
2026-09-07 09:16:19
5
kelvinkessy5
KK :
alafu kuna majamaa yanacheka 😏😏
2026-09-07 10:10:39
3
sidemsafi
sidemsafi :
huyu anacheka nini sasa
2026-09-07 10:54:08
2
givembwilo0
Give mbwilo🇹🇿 :
anacheka nini😅😂🤣
2026-09-07 10:49:36
1
baraka.michael.nd
baraka Michael ndunguru :
iyo maic uwenda watu wamesha ichezea 🙏🙏
2026-09-07 11:37:27
1
elizabeth.lukas0
Elizabeth Lukas :
eeh Mungu wangu mtete mtumishi wako huyu please
2026-09-07 09:54:55
0
tausiponsiano
tausiponsiano :
wengine wanachekelea Tu
2026-09-07 09:19:51
4
To see more videos from user @maguisratv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About