@gidetv_media: Katika hali isiyokuwa ya kawaida Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba ameanguka ghafla wakati akizungumza katika mkutano wa kitaifa wa kutafakari hali ya kisiasa leo Septemba 7, 2026, jijini Dar es Salaam. #viralvideo #trending #newstoday
🄶🄸🄳🄴 🅃🅅
Region: TZ
Monday 07 September 2026 08:37:13 GMT
Music
Download
Comments
black horse :
chaajabu kunawazee hapo wanacheka kabisa🤔
2026-09-07 10:16:39
128
ngulai :
kuna umri ukifika punzikeni taifa linavijana wengi sana
2026-09-07 10:52:21
85
Nasry Al hashimi :
Bas tena
2026-09-07 10:13:15
0
MR CHINA MOBILE PHONE :
imagine kuna watu wanacheka daaah thanks kamera man
2026-09-07 11:36:41
1
Sayuni Ayman :
kushine baba ji
2026-09-07 11:34:43
0
josephat kgm :
Alowaona nan
2026-09-07 13:15:24
0
wizzy boy :
Mbona yule mzee nyuma anacheka? 😳
2026-09-07 10:21:42
24
Golden phonics💫 :
mhmmmm
2026-09-07 18:28:19
0
dijadala_ :
Wanao cheka mhhhh aya
2026-09-07 14:53:08
0
mwakalu bunju :
bila shaka misiba miwili chakula lazima kiwe Cha kutosha
2026-09-07 09:53:14
62
Ally Naheka :
mbona kama kuna mtu anafurahia hapo?
2026-09-07 10:05:16
27
mmm ukweli daima :
Pole sana mzee wetu mpenda haki
2026-09-07 10:05:43
35
kezilahabi mumangi :
Hivyo visemeo kila mtu atoke na chake nyumbani ikibidi hata kiti
2026-09-07 10:24:24
27
ENG BUGOZI :
uyo wamemaliza
2026-09-07 10:22:40
5
DIRECTOR MJA GONGO :
hasira zimemjaa kutokana na mwenendo wa nchi,so that atakuwa ameshindwa kuongea kwa kukosa pumzi
2026-09-07 11:10:47
10
Dr.Lily :
hapo kuna wazee 2 wanacheka wafatilieni.
2026-09-07 10:28:00
17
Mshua :
Yaaa Rabbi nakuomba mlinde na umpe afya njema mzee wetu warioba inshaallah
2026-09-07 10:24:33
17
user6961227814740 :
hizo mic uwa zina mambo sana
2026-09-07 10:21:06
12
sanura1 :
🤣🤣🤣🤣sasa mzee wngu kwann ucpumzike baba angu jomn cyo kwaubaya ombi langu tu kpnzi
2026-09-07 10:25:25
7
Maadili :
Pole mzee wetu. Mungu akuponye
2026-09-07 10:14:46
7
sydn :
Ccm washafanya yao tayar, Mungu amsimamie mzee wetu,
2026-09-07 10:05:03
14
chapo :
hizo mic sijawahi kuziamini
2026-09-07 09:57:53
8
mrs.mwakitalima :
mzee wangu keshazeeka mnamleta uko wa nn jamaniii😳
2026-09-07 10:07:22
6
Ram :
Usipoenda sambamba na CCM basi hizo mic usiruhusu kuzitumia...elewen neno mic yan nazungumzia hicho kisemeo...
2026-09-07 09:59:43
6
+255🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
mie nmeona kuna mtu kacheka kabisa
2026-09-07 12:30:41
7
To see more videos from user @gidetv_media, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.