Kama unatumia ChatGPT
mwambie achague namba
yoyote kati ya 1 - 30
Asipochagua 17 mje
mnipige😂😂😂😂
2026-09-07 14:48:06
27
Pascal Gp :
comedian mazinge😁😁😁
2026-09-08 09:39:44
2
MA2PA__BOSS4️⃣5️⃣ :
😂GOOGLE ni wazungu ALLAH ni Mola wetu
2026-09-11 07:10:14
15
Mudizo.tz :
Mashallah kijana anaesoma Aya Nimezidi Kumkubali Alianza kama masihara kulipenda hili jambo la midahalo ila kwa sasa mazinge kamsapoti na Alikuwa na nia ya hilo jambo Mungu Kamjalia kapata anachokitaka hongera kijana Allah azidi kukupa nguvu ya kulingania waumini
2026-09-07 19:12:08
26
dully centrozone :
namkubal San shekh uyu
2026-09-07 10:10:02
28
ibn mtangi :
mashaalllah kijana unaiva
2026-09-07 10:05:45
21
zaharani deco :
tunao mpenda
2026-09-07 09:27:35
13
عبد الناصر ميكال :
huyo shaykh nampenda sana ajili ya Allah
2026-09-07 18:52:23
15
Handsome said :
hahahaaa ,, google 😛 ! watoe aya ! mashallah sheikh mazinge namuomba Allah akupe umbri mrefu muzidi kuwaelimisha ! na mkuze kijana wetu saidi na nawaombea Allah awape wepesi nyote hapa kwa dhunia na kesho akhera awaingingize Jannatul firdaus inshallah