@islamicswahilinet: TUKITHIRISHE KUTOA SADAKA ZA SIRI ILI TUPATE KIVULI Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 08:41:27 GMT
7298
1308
19
60

Music

Download

Comments

azizanahigombere
Ayaan :
nitaanza Inshallah
2026-09-07 11:42:27
0
chidwiz95
@Rash95 :
subhanallah
2026-09-07 15:52:25
0
nasibhassan8
Nasib hassan :
subuhanallah
2026-09-07 12:15:15
0
official_mamuuu
official_mamu :
Allah Akbar
2026-09-07 17:14:10
0
barakaabedy425
baraka abedy :
subuhanallh 😌
2026-09-07 11:00:02
0
ashu11201
Ashu112 :
Allahu akbar
2026-09-07 09:53:02
0
zulfa.ali94
zulfa Ali :
Allah Akbar
2026-09-07 11:53:08
0
mwanamdandau
💕💕🤲🙏 :
subhana allah
2026-09-07 12:20:07
0
ladyrider463
أميرة 💞 :
2026-09-07 11:20:06
0
tom.washo8
Tom Washo :
subhanallah
2026-09-07 10:02:07
0
asha.salimu15
Asha Salimu :
subhanallah
2026-09-07 10:39:43
0
ramsimani
RAMS :
🥰🥰🥰
2026-09-07 13:49:22
0
idrsa.shindano.sin
idrsa shindano singe :
🥰🥰🥰
2026-09-07 13:29:34
0
ramla.saidi64
Ramla Saidi :
🥰🥰🥰
2026-09-07 11:47:55
0
khan.sella45
[email protected] :
🙏🙏🙏
2026-09-07 11:12:32
0
allymzeekham
乂MKOKOJR乂 :
🥰🥰🥰
2026-09-07 09:52:46
0
imanorax
Imanorax :
🥰🥰🥰
2026-09-07 08:57:08
0
hawa.chibangu.mko
HAWA CHIBANGU MKOMWA :
❤️❤️❤️
2026-09-07 15:51:55
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About