@evaristchahali: BREAKING NEWS KUHUSU MZEE WARIOBA #JasusiTV #viral #fy #viral #tanzaniatiktok

Evarist | Intelligence Analyst
Evarist | Intelligence Analyst
Open In TikTok:
Region: GB
Monday 07 September 2026 09:19:29 GMT
34755
719
63
176

Music

Download

Comments

modester.agai
Modester Agai :
yoooooh Tz
2026-09-07 10:33:42
0
kagema95
Kagema :
Hiyo mic sio kwamba wametumia kumuzoofisha mzee wetu, unajua watanzania hatupendi kumuona mzee wetu anapitia hali hii
2026-09-07 10:44:51
5
traore.the.great
Traore the great :
Meza kuu wanacheka kwanini??
2026-09-07 10:16:29
2
omary.bopary
Omary Bopary :
wazee pumzikeni wachieni vijana wapambane wenyewe kwa wenyewe
2026-09-07 12:18:08
3
hawa.mohammed6862
Hawa Mohammed :
kwisha habariake spika imekua mzito
2026-09-07 13:36:23
1
franc_user987386112
Qassim :
Hili ni laana kubwa na aibu kwa Taifa—kumlazimisha Mzee aliyestaafu kurudi kwenye ulingo wa siasa ili kunusuru nchi kutokana na hali ya udhalimu, utekaji, mauaji, wizi wa kura na matumizi mabaya ya vyombo vya dola kuwabebesha wapinzani kesi za uongo. Taifa linalowafikisha wazee wake mahali pa kurejea ulingoni si kwa tamaa ya madaraka, bali kwa kulinda demokrasia na mustakabali wa wananchi, linapaswa kutafakari kwa kina hali lililofikia.
2026-09-07 11:47:36
1
user57137683253277
user57137683253277 :
anaangaika mno kuvuruga taifa letu tu
2026-09-07 12:29:21
3
gosbert362
Gosbert :
NAKUOMBAZEE WATIOBA UPONE HARAKA
2026-09-07 11:36:53
1
user8586052465598
Mollel Paulo :
hawa wajumbe mbona wako dar
2026-09-07 12:13:50
1
jumacharles3821
Juma Charles :
mzee ameshachoka
2026-09-07 11:54:16
3
mjinjaibrahim
mjinjaibrahim :
babu yangu angetulia tu maana nchi hii inafyeka bila uruma
2026-09-07 15:06:59
0
adamkombo17
Adamkombo1 :
huyo anataka urais wamuda
2026-09-07 16:12:20
0
user6903639410787
lil suk :
mbona hawajatoa tangazo lakiserikali?
2026-09-07 10:31:26
1
issakapesa685
kapesa :
mungu akufanyie wepesi mzee wetu
2026-09-07 11:01:57
1
seif.kabelele
Seif Kabelele :
OKOK
2026-09-07 16:18:20
0
issabigwira4
Issa :
nawasiwasi na hiyo mike..😳
2026-09-07 12:56:10
0
user6181718819381
Hassan@445 :
kwannn kwannn
2026-09-07 11:50:53
0
user6961227814740
user6961227814740 :
tayari hii vita ngumu sana
2026-09-07 10:28:01
0
josephathmbwilo5
Josephmodoks :
pole kipenzi Cha wanyonge mungu akutangulie
2026-09-07 10:16:17
6
user8616579291181
user8616579291181 :
ni. jaa tuu au midomo ya watu kwa matendo yake na usalitiwake kwa taifaaaa?
2026-09-07 11:48:15
4
mauasadani
Mauasadani :
maiki hyo
2026-09-07 10:55:35
0
nelly.fotunatus
Nipher❣️❣️🤲🤲 :
maiki hiyo
2026-09-07 11:55:25
1
matildajohn15
Matilda John :
dah pole sana
2026-09-07 11:14:35
0
amanirabani0
amani rabani :
mungu akurinde mze warioba
2026-09-07 11:12:27
0
ferdinandmwakalu7
Ferdinand Mwakalunde :
nadhani hiyo ni postoral hypotension kutokana na kusimama kwa muda mrefu
2026-09-07 12:48:42
0
To see more videos from user @evaristchahali, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About