@nyachycosmeticstz: Unafungua biashara yako kwa shauku kubwa😂unalipia frame, unaweka bango kubwa, unanunua stock ya kutosha … halafu baada ya miezi michache unaanza kujiuliza, ‘Mbona wateja hawaji?’ 😩 MAKOSA HAYA ndio yanasababisha biashara mpya kufa😭 KOSA LA 1 — Unatumia pesa nyingi kwenye maandalizi kuliko maarifa “Unalipia frame, dalali, fundi, stock, bango kubwa… kila mtu anapata pesa. Lakini ukiulizwa, ‘Umewekeza shilingi ngapi kujifunza hii biashara?’ Jibu linakuwa zero😭 KOSA LA 2 — Unaanza bila kufanya research KOSA LA 3 — Kuamini unaweza bila mentor “Unasema, ‘Mimi nitajifunza mwenyewe.’ Unaanza kufanya trial and error kwa pesa yako. Ndio maana nimekuandalia LIVE MASTERCLASS tarehe 12/9 saa 9:00 PM usiku, ambapo tutajifunza mambo muhimu ya kukusaidia kuanza na kuendesha biashara kwa uelewa zaidi. Save hii video ili usiisahau, na share kwa rafiki anayepanga kuanza biashara. Upo tayari kupata maarifa sahihi? Comment “MASTERCLASS” nikutumie link.” #Bia#BiasharaTanzaniaj#WajasiriamaliTanzaniaa#Ujasiriamalia#Biasharaa#Mjasiriamali
NYACHY JUMBA LA UREMBO
Region: TZ
Monday 07 September 2026 09:56:00 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @nyachycosmeticstz, please go to the Tikwm
homepage.