tuwaachie tu magari waendeshe wao kama sisi hatufai sema ndo hvo madeleva hatuna muungano tungegomaa tukawaachia magari yao
2026-09-07 16:38:45
52
Victoria GL :
nimenunua gari dar naenda bukoba nafika kahama point zimeisha, gari nauza au?
2026-09-07 15:34:20
22
Shafii Salehe :
kila ck madeleva
2026-09-07 16:37:30
1
karimmanzi405 :
wataendesha wao magari
2026-09-07 16:53:24
1
wenvvany :
munatengeneza vita Kati dereva na asikari
2026-09-07 15:29:47
12
ᴛʀᴀɴꜱɪᴛ ʙᴏʏ🚛🇹🇿 🇿🇲 🇨🇩 :
kilasiku police Tanzania wanatengenezewa mazingila ya upataji wa pesa kwa madereva
2026-09-07 18:09:28
5
Merinyojr :
imekua vocha
2026-09-07 18:05:44
4
9876543210 :
kwann madereva tuu, hyo sheria iwe ni upanga kote kote sekta zote, kwanzia POLICE WAFANYE MTIHANI WA FORM FOUR, YAN WOTE WALIOKO SELEKALINI WAPGANIE NAFAS ZAO MTU AKIFELI MTIHANI AKAANZE FORM ONE. KWANN MADEVA TUU, MAKOSA YANAONEKANA KWA MADEREVÀ TUU
2026-09-07 16:44:07
11
adinaniamrani :
Kwahiyo polisi ndio kila kitu kuhusu dereva mahakama haina kazi tena ila hii mm nimeipenda naona kama mmejikaanga wenyewe gari mtaziendesha wenyewe.
2026-09-07 16:50:51
8
真正的伊万是誰 :
DEREVAAAAAAAA 😂😂😂
2026-09-07 18:21:35
0
KABIPE Y. 26 ~J :
kwa hiyo uondowaji wa points 15 kwenye Driving lesence unasimama badala ya fine (Notification penat) au mna sababu nyingine ya siri ili kuondoa madereva waliopo mlete madereva wapya mnao wataka nyie?
2026-09-07 17:46:13
5
Swedi Issa :
kwa mtindo huu mtaleta mtaleta malaika waendeshe magari maana binadam hatutoboi hakiyamungu
2026-09-07 17:06:18
4
Emmanuel ,w,matee :
ifike Mahali polisi muwena kuelewa dereva mnae msemea yeye haja sema Lolote
2026-09-07 19:13:22
2
dhurukifritabu :
hii kazin kwangu kuna kazi😂😂😂😂
2026-09-07 17:55:33
3
side tz 🇹🇿 :
tumewakosea nn sisi jamani mbona kama nashindwa kuwa elewa
2026-09-07 17:54:27
0
ᎯℕℐЅℰᏆℐ ℕᎫℐᎶUℒᎯ :
na serikali ianzishe mfumo wa pointi kwa wafanyakazi wake zikiisha pointi huyo siyo mfanyakazi tena na kwenye hizo pointi hebu anzeni na gari za serikali kwanza
2026-09-07 17:00:01
4
Assenga Ksavala :
ivi hamna kitu kingine zaidi ya kumzungumzia dereva tu kila kitu
2026-09-07 16:39:27
3
user5650404161334 :
yaani mimi nimekuta mimekatwa poiti tatu na sijajuwa mimefanya kosa gani
2026-09-07 17:51:56
0
9876543210 :
ktk sekta ya udereva hatuna mtetezi wa kutusemea ndo maana kila mtu anasema chchte. JE NA WANAO KULA RUSHWA, WEZI, MAFSADI, WAHUJUMU UCHUMI NA WALA RUSHWA JE HAO VI
2026-09-07 16:47:42
2
SHINOTEE~DRIVER🇹🇿 :
kwani dereva ni nani katika hiii nchi atambulike kwa makosa tu na sio mazuri yake kila siku dereva kwani askari wanaokosea hakuna
2026-09-07 16:50:53
1
KABURU 🤍 :
kila mkiamka madereva hakuna agenda nyingine yamaana tunaonekana kama vibaka saivi brbrn Askari kibao hata laha ya safari hakuna tena ni mikono kila kona
2026-09-07 17:13:31
1
Ibra Kadabraa :
Dereva ni mtu mwenye thaman sana kuna muda ukwel utuweke huru makosa ya madereva ni madogomadogo ambayo niyakuonyeka lakn kila sekta ikiwekewa seckta ya kukatwa point na iwe na limit kama dereva weng itatuwia ngum katika kwenye sekta zetu
2026-09-07 17:11:35
1
Ag Traveller :
kama hamtaki tuendeshe magari simseme mavikao kibao garama kwa serikali huku mnajadili vitu zisizokuwa mashiko
2026-09-07 16:58:06
4
To see more videos from user @metana2000, please go to the Tikwm
homepage.