cgm motoo tunanguvu tuna neno tumemshinda shetani aaameeee😂😂🤸🤸🤸🤸
2026-09-10 12:46:50
1
Martha Herman :
[Sticker] amen pastel
2026-09-09 12:11:23
1
chachah :
Nikisema CGM.... mnasema
2026-09-08 19:00:30
2
user5317879380307 :
baba niombee kwa sasa npo bahar ya sham mpaka imefka namwambia Mungu ile nguvu iliyomtoa Ruthu ktk mji wa Sodoma na mimi initowe kwenye hili kupitia mkono wa wale malaika maana naona maangamiv mbele yangu
2026-09-08 08:30:21
2
M🫶t :
jamani kanisa riko wap😳
2026-09-08 14:18:59
1
Nimekombolewa kwa Damu ya yesu :
Ameeeen Ameeeen kweli kabisa,,some time unapita mahali mpaka inajiuliza mbona wengine hawapitii hayaaa !!!! Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama
2026-09-08 15:50:27
2
Justin Jonas :
amen
2026-09-10 06:47:05
2
johar_24 :
Baba tunapitia Magumu sana nikulia tu,tutanyazishwa lini?mtumishi?