@obedjkatunzi375: CHUKI HAIOKOI MTU BALI UPENDO UNAMVUTA MTU

PASTOR Obed J Katunzi
PASTOR Obed J Katunzi
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 10:22:30 GMT
15608
430
113
15

Music

Download

Comments

voisaclassic92
voisaclassic92 :
True say
2026-09-07 20:26:19
0
user53731363501424
user53731363501424 :
huyu anaongea nn whonis this guy
2026-09-07 17:59:59
0
rainodigital
raino :
Hallelujah
2026-09-08 06:41:19
0
realitywithjoe
REALITY with JOE :
What happened in Kenya on Friday so sad 🥺
2026-09-07 11:55:48
0
rogatus.rwamlema
Rogatus Rwamlema :
KAKA KUNA SABABU YA KWANINI HIZI NGUVU HUWA ZINAINUKA MSIHUBIRI UWONGO ,KAMA TUPO SAWA MUNGU ATAZUIA
2026-09-07 12:14:04
10
mtumishisylvester2
Sylvester :
Hatumchukii raisi bali tunachukia matendo yake, hatuna shida na mtu, shida ni matendo yake tu, mwambie abadilike uone kama kuna mtu atakua na muda nae
2026-09-07 14:02:21
4
uluguludawaasili
ulugulu :
sio watu wote sema wafia dini wa kikristo hasa wakatoliki
2026-09-07 18:33:53
1
safe.heavens
safe heavens :
hawa ndio wahubiri tunaowahitaji katika jamiii, wanaofundisha upendo na kuhehimu mamlaka
2026-09-08 05:40:55
0
mk.bingo.1
MK bingo :
Pastor yesu alipoingia hekaluni akakuta nyumba ya mungu inafanyiwa biashara Alifanya nini?. kuna baadhi ya Mambo yanapuganiwa kwa vita, tangu Musa, Joshua, Daudi. Jaribuni kuwa real kwa waumini wenu.
2026-09-07 16:30:16
3
radiator467
RADIATOR :
uko sahihi sana , #tanzaniaimara 🇹🇿💪
2026-09-08 07:51:31
0
victor.ben3
victor ben :
kwani shetani anasemaje??
2026-09-07 22:34:45
1
ezekielzakaria485
Ezekiel Zakaria No 0703939040 :
wewe mchungaj unamadin sana kwenye ufahamu watakuelewa
2026-09-07 10:43:18
1
mellicphilly
McKalandala_137 :
Pastor unakumbuka kama Eliya alivyompinga ahazi na Jezebel hadharani basi obadia alificha manabii wengine 100, so sometimes ni better kujificha kuliko kumzuia Eliya na kazi yake
2026-09-07 12:37:58
2
usergeofrey1998
Mwinjilisti Geoffrey RukatilA :
kwahari ya kimwili nivigumu kumpenda adui Yako Hadi uwe umekomaa kirohoni
2026-09-07 11:33:52
2
loisajordan125
💫sis💞 :
acha kumsingizia shetani we baba
2026-09-08 06:33:00
0
josephat.mutasing
JOSEPHAT MUTASINGWA :
Amchukaye ndugye ni" muuaji" injili ya kweli ituponye sema Amina kama wew ni wa bilia
2026-09-08 06:41:20
0
mkombozmed
mkomboz-med :
aliyeonywa kwa upendo na akaua kamwe hawez kuonywa kwa upendo
2026-09-07 17:01:01
1
mwakihwa
mwakihwaja musa :
Hakuna anaye chukia kiongoz tunauchukia unyama wanao ufanya kwa binadam wenzao,
2026-09-07 12:28:18
2
gaudence.paschal
Gaudence Paschal :
Chawa kwenye moja na mbili. Dhambi lazima ikemewe na ichukiwe... Kwanza hakuchaguliwa,..
2026-09-07 15:15:13
7
joycemoshi68
Joyce Moshi :
upo sahihi pastor
2026-09-07 10:30:41
1
safe.heavens
safe heavens :
kabisa tuombee nchi hii
2026-09-08 05:39:45
0
user4552076083217
edinadamas :
kweli mtumish
2026-09-08 06:33:49
0
king.leader77
King leader :
uzur siku Moja siri zote zitawekwa hadharan😂😂😂😂
2026-09-08 08:14:18
0
mikekijogoo
. :
Utekaji, Mauaji oct 29, Kesi ya lisu, Watu wakisema ukweli wanakamatwa n.k. Tutampendaje kwa hayo yote?
2026-09-08 05:56:09
0
valentini.joseph
Valentini Joseph :
kwanza kiongozi ni mwenye haki?😳
2026-09-07 12:12:03
0
To see more videos from user @obedjkatunzi375, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About