Kwanza Burundi Sina hata pakuanzia mamangu mwenyewe Kula kwake ananitegemea
2026-09-07 21:47:19
0
Hussein Mohammed Ali :
:@Hussein Mohammed Ali:Kwa wakenya wenzangu
2. Kumbuka sisi pia ni wageni kwingine. Wakenya wako kila mahali - Uganda, Tanzania, Burundi, Rwanda, South Sudan, hata Marekani wanatafuta maisha. Tukiwafukuza wengine vibaya, na sisi tutafukuzwa huko.
3. Waburundi ni ndugu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Sisi ni EAC moja. Leo ni yeye, kesho inaweza kuwa wewe.
4. Uchumi mbaya haisababishwi na mtu anayeuza kahawa au mandazi mtaani. Tatizo ni kubwa kuliko huyo mama. Kumfukuza jirani maskini haituongezei pesa mfukoni.
5. Tuchague ubinadamu. Hata kama mtu hana kibali, anastahili heshima. Tunaweza kumuambia arudi kwa utaratibu, ampewe angalau wiki moja ajipange, kama wao wenyewe wanaomba. Wana damu kama sisi tu kama ulivyosema vizuri sana.
2026-09-07 14:33:39
5
Mamake Trizah :
Wambia ukweli Babangu watuajie waburundi hawana makosa Sisi wote n binadamu mungu wetu n mmoja
2026-09-07 11:43:15
8
susiboy04 :
hapo sasa wan tam
2026-09-07 22:47:12
1
user3527947316496 :
Ruto Mungu 🙏 akuone
2026-09-07 19:08:27
2
Spicy_phyllis♓ :
lakini Kenya kumbukeni tulipotoka Raila angekuwa all this culnt hve happen😳
2026-09-07 20:20:52
2
MASTER K2 MOTO :
2026-09-07 21:49:09
1
Nyoka cheropin 🐍🐍🐍 :
ya mbona wanathulumu kwani ameiba nn na anafanya kasi yake ajakuibia iyo si poa
2026-09-07 19:19:51
1
kishoka :
kweli kabisa brother waambie
2026-09-07 18:34:25
2
To see more videos from user @roundthetableshowtv, please go to the Tikwm
homepage.