@okessa_: Part 1

Okessa
Okessa
Open In TikTok:
Region: US
Monday 07 September 2026 10:54:59 GMT
20338
1768
68
103

Music

Download

Comments

rachel_tz1
rachel_tz1 :
Nina degree ya Law, sasa nina rafiki yangu kapata scholarship ya GKS ameenda yupo Ulsan, yaani kalipiwa hadi nauli nakwambia
2026-09-07 14:36:27
13
johnalexmusic1
John Alex Music. :
USISAHAU KUSALI
2026-09-07 14:55:59
7
abdulyjumaa100
mushila :
Hello.. vipi kazi kama driver. maweza pata huko
2026-09-12 11:40:20
0
mogulpicky6
Mogul :
Asante mno my love
2026-09-07 21:06:02
2
seedmoneytz1
young🇹🇿🇰🇷 :
ni kweli E9 visa kwa africa bado
2026-09-08 12:05:15
1
njoya.rakibu
Njoya Rakibu :
Je ss tulooo ishia lasaba vp au si hatuna chetu
2026-09-08 17:20:09
0
baby.furaha
baby furaha :
ko hawalipwi kwa masaa? my dear
2026-09-07 21:57:48
2
veehope.com
♍vee Eunha🌌 :
kwahy ata tulioishia level ya certificate inawezekana kwenda kutafuta diploma
2026-09-07 11:44:15
4
professor_1110
LIMITLESS ❄️ :
EPs expansion hujatuandikia 😳mbonaa
2026-09-07 12:00:58
2
onalinajoseph8
being me! :
Korea ipi
2026-09-07 15:27:14
1
lacptan
Lucasi Mustafa208 :
kwaiyo sas nasisi elimu zetu4 Kaz atupati maan at izo ela z chuo atuna
2026-09-09 15:52:21
0
rommy548
Growithrahimy :
Nakupenda bure Sister @okessa
2026-09-07 11:49:11
3
user0585836389
Salim :
korea best visa ni visiting visa hizo nyengine ni jau
2026-09-08 05:04:54
1
kellyamani25
Pyeong-hwa🇹🇿$🇰🇷 :
😂😂mimi nitafute hela ya kwenda kutembea korea tu maana mimi nimeishia darasa la saba acha nirande uarabuni kwanza
2026-09-11 16:44:28
1
ananah70
Ananah🌹 :
Nakupenda dada okesa kwaupendo mungu akutunze 🌹🌹🌹🌹
2026-09-08 08:07:33
1
shandu.praise
Shandu Praise🎤🇹🇿🇿🇦 :
dada
2026-09-08 04:57:41
1
baby.furaha
baby furaha :
dada unaroho yakipekee aiseee🥰🥰🥰🥰
2026-09-07 21:46:17
1
baby.furaha
baby furaha :
na vipi kuhusu korea kusini? my dear tufanyie resechi na korea kusini kuhusu kazi viwandan
2026-09-07 21:59:57
1
user551717152987
momo drama :
dada okessa kama Mimi Nina diploma ya textile and fashion design but kingereza changamoto kidogo na kikorea sijui naweza
2026-09-08 09:44:53
1
janethrenald970
Janeth kimario ♥️❣️ :
sawa kipenzi nakusubiria jamani
2026-09-07 15:54:01
1
itsmima05
ꪑꪖꪜꪗꪖꪑ🌸 :
Wa bibi wambea😂
2026-09-14 01:26:23
1
malaika_luxe
🌸dada Malaika👷‍♀️🤍 :
Je ukitaka kwenda Kama engineer ?? Huko viwandan?🥺
2026-09-13 16:39:56
0
stella.jimmy
Stella Jimmy :
je ni fresh tu au wote hata kama ulimaliza mda mrefu
2026-09-11 16:49:58
0
pascalanselimo
Sichura Nyara :
nmekupenda mtoto umependeza mpaka unataka kunitoa roho😃
2026-09-08 10:29:55
1
To see more videos from user @okessa_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About