@usermusmart: Musmart #princetoney🥰🥰🥰🥰🥰🥰 full video

Musmart(baba mchungaji)
Musmart(baba mchungaji)
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 07 September 2026 11:32:40 GMT
9735
1459
31
47

Music

Download

Comments

sammywilliam367
sammy william :
🥰 napenda uchapunzi wako...lkn jueni there are tools to help one to understand scriptures. can download them. otherwise, your lay analysis is so interesting.😇😇
2026-09-07 22:45:11
2
omunilihanda
Omuni Lihanda :
paul was not against churches... but followers of jesus, who were not Christians or churches.
2026-09-08 03:45:58
0
alibhaikarimj
Alibhai Karimj :
ubarikiwe kuona ukweli
2026-09-07 16:48:26
1
user2701531200161
Sir Mfalimbega :
unafahamu vizuri sana bible kaka nakufuatilia sana na nakuelewa napata shule 🙏🙏
2026-09-08 15:52:26
1
user8156613522796
Joseph m m :
nawasikia visuri viongonzi🙏🙏🙏
2026-09-07 17:13:45
2
philip.wafula53
Philip wafula :
sema story ya uyu uone vile atatetea Paulo
2026-09-07 19:55:16
1
josephochuka
Joseph ochuka :
biblia yake iko Na vitabu ngapi Kwa new testament?
2026-09-07 23:55:39
0
sam192265
ISSA :
🤣🤣🤣
2026-09-07 22:33:32
0
kingujunior
Call me kingu :
Paulo ndo mpinga kristo mwenyewe😂😂😂
2026-09-08 10:12:32
1
hillbruce20
Bruce bruce :
Haya ongea story about the death of Judas Iscariot 😁
2026-09-08 12:46:51
1
ingnieur.basangi.g
Ingénieur Basangi GD :
lwako lule
2026-09-08 15:48:31
0
.ni.brantez
ɭɭ Ni Brantez ɭɭ :
🥰🥰🥰
2026-09-07 19:51:31
1
washingtonmwanzi5th
WASHINGTON MWANZI :
🥰
2026-09-07 11:48:19
1
amini.thuva.kahindi
amini kahindi :
🥰🥰🥰
2026-09-08 09:25:38
0
usermusmart
Musmart(baba mchungaji) :
🥰🥰🥰
2026-09-07 11:39:54
0
johanamurimi
johana@mati :
*Hizo ni hadithi 3 tofauti za tukio MOJA: "Kugeuka kwa Paulo"* 🙏 Zote tatu ziko katika kitabu cha *Matendo ya Mitume* na zinazungumzia jinsi Saulo alivyogeuka kuwa Paulo. ### *Kwa kifupi maelezo yake:* #### *1. Matendo ya Mitume 9:1-7* Hii ni *hadithi inayosimuliwa na mwandishi, Luka*. Maelezo: Saulo alikuwa anasafiri kwenda Dameski kuwafunga Wakristo. Ghafla mwanga kutoka mbinguni ulimng'ara. Akasikia sauti: "Saulo, Saulo mbona unanitesa?" Akawa kipofu kwa siku 3. Watu waliokuwa naye waliona mwanga lakini hawakuelewa sauti. #### *2. Matendo ya Mitume 22:6-9* Hii ni *Paulo mwenyewe anasimulia* kwa watu wa Yerusalemu. Tafsiri yake ni sawa na 9:1-7, lakini anaongeza: Alisikia sauti ikisema kwa Kiebrania. Watu waliokuwa naye "waliuona mwanga lakini hawakusikia sauti" ya yule aliyenena naye. #### *3. Matendo ya Mitume 26:12-18* Hii ni *Paulo anasimulia tena* mbele ya Mfalme Agripa. Hapa anaongeza details zaidi: Yesu alimwambia kazi yake - "Nakutuma kwa mataifa ili uwafungue macho yao kutoka giza kwenda mwanga" ### *Kwa nini zinasimuliwa mara 3 tofauti?* Luka alifanya hivi kwa makusudi: 1. *Matendo 9* = Mungu ndiye anasimulia kilichotokea 2. *Matendo 22* = Paulo anajitetea kwa Wayahudi 3. *Matendo 26* = Paulo anasimulia kwa viongozi wa Roma Lengo ni moja: *Kuonyesha Yesu mwenyewe alimchagua Paulo* kuwa mtume wa Mataifa. Hii ilibadilisha historia yote ya Ukristo. ### *Somo kubwa hapa* 1. *Mungu anaweza kubadilisha mtu yeyote* - Saulo alikuwa mtesaji namba 1, akawa mtume namba 1 2. *Mwito unakuja na kazi* - Hakumwambia tu "acha dhambi". Alimpa kazi ya kuwahubiria watu. Unataka nikupe tafsiri kamili ya mistari hiyo yote 3 nikuwekee pembeni pembeni uone tofauti zake?
2026-09-07 21:59:54
0
enkirisaiormeponi001
Maika Alfred :
Uliskia story ya Mary Jesus's mother Huko kisii kweli?Repent Servant of God 😂
2026-09-07 11:53:47
1
user80061510878380
user80061510878385 :
that's your own mind,do you know that there is no one who testify Jesus to many places than poul, you make no sense coz poul was not against Jesus
2026-09-08 18:55:17
0
To see more videos from user @usermusmart, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About