@soda1134:

KD1111
KD1111
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 11:47:02 GMT
10905
300
31
6

Music

Download

Comments

jorampastory
joram pasrory .gmail com72 :
hajajibua swali ila tanzania🤣🤣🤣🤣
2026-09-15 05:32:43
0
joseph.moshi33
Joseph Moshi :
NASHINDWA !! KUELEWA !!
2026-09-13 04:36:18
2
user2680476003095
lazaro :
Naenda kuangalia marudio ya mpira
2026-09-14 18:08:10
0
user9515344819653
majory45 :
eti walio sababisha sio walio ua
2026-09-14 21:23:03
0
magdalenamaulilo
Magdalena maulilo :
mmmmmmmmm
2026-09-08 10:26:01
1
ananiamkasu
Anania :
Polisi kupokea lawama ni sahihi kwani ndio inawajibika kikatiba na kisheria kulinda watu na mali zao.🤔
2026-09-13 09:12:27
0
kidamiharo6
kidamiharo :
cc tuliosoma Cuba jibu katoa hapo kua elewa neno katika kulinda taifa
2026-09-13 11:39:22
0
user6613678573327
jackline simbila :
kazi ya polisi ni kulinda raia na Mali zake kwa hiyo mlitaka polisi wasilinde Mali za raia siyi kweli.
2026-09-13 03:00:42
0
salim.mpinga.26
SALIM MPINGA 26 :
Iyo misteki alifanya nani serikali au raia
2026-09-12 23:24:54
0
johnseleli575
john seleli :
kwani aliandaa jeshi, lijipange kabra hata ya uchavuzi kufika ni nani? akisema uchaguzi hautakuwa salama, je uchaguzi ni vita? au sielewi hapa, hafu tanaandaa wachunguzi kilitokea Nini au nani alihusika! hii ni ajabu, unaweza kumoa nyumba myewe badae unamtafuta mvunjaji kweli hii ni sawa?
2026-09-13 16:58:13
0
jasluo2
jasluo :
Hawezi kua na hayo majibu akijaribu kujibu tu watampolpole mara moja
2026-09-07 13:20:54
2
shabanikambaya
Shaban_kambaya :
mwmboe AjibuSqari nani kauwa wa2.
2026-09-10 09:18:36
1
shukuru4312
shukuru :
kulinda kuua huyu vp
2026-09-10 17:26:11
1
user7463278123571
user7463278123571 :
Kumbe tulikuwa tunafanya makosa shuleni kujibu maswali moja kwa moja!!!!hapo mimi nimeelewa kwamba walinzi ndio walioua; wewe umeelewaje
2026-09-13 10:45:52
0
kandido.mtinda
Engeneer Mtinda :
odemba unamuhoji nani hapo hamna mtu
2026-09-13 17:39:53
0
user6613678573327
jackline simbila :
kulinda Mali waliofanya askari ambavyo ilipelekea kuua watu ambao walikuwa wezi na siyo waandamanaji maana kulikuwa na kutaka kufanya mapinduzi, na mara nyingi mapinduzi nyingi zinapotokea damu hata zisizo na hatia kusababisha damu kumwagika.
2026-09-13 02:58:52
0
daudkondo3
daudkondo3 :
Yaani huyu Odemba Kuna siku atapewa jibu kwako hatuji ,maana maswali yake daa
2026-09-13 18:29:29
0
user7913029350203
irene :
ccm
2026-09-12 22:16:02
0
dactarikapufi
babu nyuki :
kulinda au kuuwa watanganyika
2026-09-10 16:39:10
0
izacksam447
wizzy $haka :
ilo swal n kwere
2026-09-09 11:08:53
0
To see more videos from user @soda1134, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About