@mp__092: Tanzania mikononi salama 🇹🇿🫡 Tunapolinda amani, tunalinda maisha, heshima na kesho ya taifa letu. Ni wajibu wetu kusimama imara kwa ajili ya nchi yetu, kwa uzalendo, nidhamu na uaminifu. Tanzania ni yetu sote, na tukiilinda kwa moyo mmoja, itaendelea kuwa salama na yenye amani. 🇹🇿❤️🫡 #tumeagizwaupendo❤️🔥🥷🚩🇹🇿 #Bilakuchokaa✊✊✊🥷🚩 #Kaulinjemaibada✝️🙏 #Mungukwanza🙏🌍♥️ #jwtz🇹🇿🥷✊