Amani iwe Nanyi. Asante Kwa Swali. Pia Sisi Sote ni wanafunzi. Mwalim wetu ni Roho Mtakatofu.
Mwenyezi- Mungu Anawapenda Sana Viumbe Wake. Kwakuwa Yeye NDIYE kweli Alipenda Kila Kiumbe wake Na waTii saut Yake. yaani NENO lake. Nayo kwa sauti yake Tunapata Amani. Tunaishi. Tunapata Uzima. hivyo ndio maana Aka FUNUA NENO lake Ulimwenguni. Ameumba Vyote Kwa Neno. na Alimwambia Mwanadam Kwa NENO lake kuwa ASILE TUNDA LA MTI WA UJUZI Wa Meme na Mabaya. Nahapo Adam Alikuwa kama Mtoto Mchanaga. Maana Ufalme wa Mungu unafanqnishwa na watoto wachanga. Wasio jua Lolote. Nikama Wazazi wema wanavyopenda Watoto wao wakuwe katika maadiri Mema kwanzia utoto na wakomae wakiwa na Hekima njema. Hivyo Adam Angezingatia Sauti ya Mungu Yaan Neno lake pasingetokea KIFO na Taabu. Mungu Anasema Heri UTII Kuliko Dhabihu. Hivyo Alipokula tunda Inamaana Akapoteza Neema ya Utakaso Akafumbuliwa Akajua Mema na Mabaya. kitu ambacho haikua levo yake Kwa Wakati huo Hadi Mapenzi ya Mungu Kwa APENDAVYO. hivyo Kwa hilo tendo Mwanadam Nikama Akaanza Kujiongoza Mwenyewe. yaani Akapotea kiroho na Mauti Akashindwa Kuzuia mwa Akiri zake. Hivyo Mungu Aliamua Tena Kumuokoa. Na Aka AMUA Hilo Neno lake lishuke Kwetu. Neno Likaja Kwetu. Likatungwa Ndani ya Tumbo la Bikila. Nalo Likapata Mwili Likawa Vaa Uwanadam. Likakakikabili KIFO. Na Lika Shinda Mauti. Neno Hilo La Mungu Linaitwa EMMANUEL. Mungu pamoja Na Wanadam. Neno la Mungu halirudi Bule. Litatimiza Kama Alivyo lituma Mwenye Neno lake. Ndio maana Mungu Ni Mmoja nalo Neno lake Ndio Salama Yetu . Uzima Wetu. Mtu haishi Kwa Mkate. Ni Neno Pumzi ya Mungu. Hivyo KILA GOTI LITA PIGWA NA ULIMI UTAKILI YAKUWA YESU NI BWANA. Amina .
2026-09-08 13:53:56
0
BARIADI PUSHER🪘🥁 :
acha uongo, Mungu anajua mwisho na mwanzo, Mungu alivyo waumba inamaana alilijua hilo kama litatokea kwanini asizuie, basi ata huyo Mungu hajui kila kitu na wala kajui mwisho wala mwanzo hajui, hata kama walifanya makusudi mbona aje kuwalaani kwa kitu alichojua kitatokea, kwenye kuamini hilo mm mnitoe
2026-09-08 21:15:26
0
MC Kisinda :
Eva hakudanganywa na shetani, alidanganywa na nyoka
Adamu hakudanganywa na nyoka, Eva ndiye alidanganywa
2026-09-08 01:52:30
0
To see more videos from user @pastor_kennethmtweve, please go to the Tikwm
homepage.