Natamani wale watu wa kundi lile waone hii clip,
Ni wanaolazimisha sote tuwe sawa kama maroboti,tukiambiwa chekeni tucheke,
tukiambiwa jambeni tujambe.
Tukihoji kwa nini sote tucheke kwa kutaka wao,wanakufanya adui🤣
2026-09-07 14:49:21
0
Abel Evarist :
unajua wewe ni genius kabisa
2026-09-07 14:40:47
2
Anthony :
sahihi bwana mkubwa 💪💪
2026-09-08 10:21:54
0
Jedeo Katembo :
kweli kabisa 🥰🥰🥰
2026-09-08 11:53:38
0
Emma samson :
Aiseehh
2026-09-08 09:44:45
0
Khatwibu :
MWENYEKITI
2026-09-08 06:45:50
0
Nance mwakibasi :
Kwel bana
2026-09-07 17:12:59
0
Africa adventure's Tanzania :
nimekuelewa sana
2026-09-08 03:33:54
0
Dieu est mongardien :
ndiyo
2026-09-07 16:39:52
0
Meckymoney45Mawella :
nikwel kaka
2026-09-07 21:02:43
0
iddy fundi :
wenye d mbili ndio tunamwelewa mwenyekitiiii
2026-09-07 15:45:43
0
WASINGYA 📖 📗 📚 :
Mwalimu wangu
2026-09-07 19:59:56
0
Philip Mganga :
umenena mwenyekiti
2026-09-08 03:42:47
0
Christophe ibraah :
nikweli mwenye kiti
2026-09-07 13:27:02
1
shamy :
2026-09-07 15:59:03
0
Opportunity Zone :
sawa
2026-09-07 14:35:47
0
jumasaidycan :
hii sio sawa kwann wanawake wacoment kwa kikao cha wanaume mwenyekiti tuweke sawa
2026-09-08 08:32:03
0
Ayubu Samweli :
like
2026-09-07 15:34:08
0
andychande955 :
Naona Israel Leo Yuko sawa🕺
2026-09-07 12:53:03
1
John Z :
mwenyekiti ungewaambia tu bila mafumbo Hawa ni wale wa dini wanaoponda dini za watu sio lazima niwataje wanajulikana wakati hizo dini mbili zote sio za watanzania
2026-09-07 13:42:11
2
Sabbir Ibrahim :
Yeah... wewe usijali hayo, kama wanakusonga kama ugali,watumie kidege luka na wao waruke...😇
2026-09-08 10:42:33
0
To see more videos from user @mwenyekiticomedian, please go to the Tikwm
homepage.