@forexkid0: Nawaelekeza ,nendeni kila kitu kiko hapo ,usizubae wewe daka hiyo alafu pambana!🤝 #KakaStrategy #kakawataifa🇹🇿 #Goldtrading #financialmarkets #VisionTraderApp

Kakawataifa🇹🇿
Kakawataifa🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 12:38:04 GMT
5011
464
15
16

Music

Download

Comments

adisonpatrick337
adisonpatrick337 :
mbona usemi kuna malipo au unawasaidia watanzania ambawo awana kipato na wanataka kujifuza embu toa malipo kuna watu wa nje wanatoa hii elimu bure na ni matajiri kama rajabank ,alex,tradeby sci,na wengine wengi ili kuna wengine wana wanawapiga wanaoanza kiingilio kumbe kama unataka kuwasaidia watanzania elimu hii inatakiwa itolewe bila malipo maana soko lenyewe litawapiga sana maana amna strategy ya asilimia 100 ya ushindi
2026-09-08 08:28:43
0
abayesu_global
ABAYESU FOREX CHILD TANZANIA :
I real appreciate u broo whatever what keep it up🔥
2026-09-11 08:21:17
1
honestmsafiri5
honest juma . :
kaka mm nimeshindwa kabisa ku trade naomba msaada bro
2026-09-13 20:03:53
0
elvis__fx
Diploma fx :
me mwanafunzi wa Mocu kaka nakubali sanaa ..
2026-09-07 12:45:09
0
mwendokasi49
mkongoman :
ngoja nifuate maelekezo
2026-09-17 08:00:56
0
logadam4
Doctor Doom :
🔥🔥🔥🔥
2026-09-07 12:45:41
1
beka_forex
Beka Forex📊🤑 :
Strategy unayoiamini + Akili(skills) usimeze tu elewa soko ni nini linaenda vipi. weka target ya siku usitrade tu ujui unaenda hadi wapi utapoteza pesa za kwenye trade haziishi najifunza mengi kupitia@Kakawataifa🇹🇿 Niko hapa trader mwanafunzi kutokea veta natrade na ujuzi wangu wa fani siuachi💪🙌🙌
2026-09-15 11:21:35
0
To see more videos from user @forexkid0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About