Mchambuzi kisoda kocha wa Simba anapanga kikosi kutokana na timu anayo cheza nayo
2026-10-25 11:52:08
13
sultan majeed mvullah :
simba makos Yao Yale Yale kil msim kwanz back pass nying bila sababu,kwend mbele wanaund shambuliz very slow ✅
2026-10-26 14:25:56
4
Royal Family Tz :
KUNA WATU WATADHARAU LAKINI IPO SIKU WATAYAKUMBUKA HAYA MANENO
2026-10-25 09:51:33
5
yaji :
uyu jamaa nimegundua anaongea ukweli
2026-10-19 04:12:21
10
NICE BOY :
Luemba achezi shidanini
2026-09-07 15:13:25
10
the stones :
makosa ya simba ni matatu, back pass nyingi,kuchezea very slow,muunganiko wakati WA kshambulia
2026-09-07 19:28:46
27
Adrian🔥💯💥 :
ay sw nimawazo yak tu hayo
2026-10-27 20:48:12
1
user4856635079359 :
kama anaongea ukweli team yetu Simba haziwezi kukaba na ikifanikiwa kunasa mpira mda huo huo unachukuliwa na wapinzani ata sjui wachezaji Wana shida gani
2026-09-07 19:09:39
8
Habari poa :
jamaa yupo sahihi Sanaa
2026-09-08 09:55:41
2
jumaomarymdeka :
kweli mchambuzi
2026-09-07 15:03:16
1
George :
sahihi mapengo ya simba hayakuzibwa kwenye usajili,,, na kocha hajui kupanga kikosi yani anafors mipango sasa ana msimu nje anaweka maema acheze no 7
2026-09-08 00:17:39
4
lone_wolf :
hakuna timu ambayo haiko perfect kwa kla angle
2026-09-08 17:46:19
1
Omary Jumattty :
kwenye ufinyu wakikos nakungaa mkono
2026-09-09 09:17:48
1
Traore the great :
Simba shida ya kocha akishafunga goli moja anataka kupaki basi
2026-09-07 15:37:39
3
Bady-Anka✨️🔥 :
ni kweli mjomba me pia ni simba naumia san kusema ukwel
2026-09-07 16:00:29
2
daniely :
huyu nae katoka wapi??
2026-09-09 21:10:45
1
Maluu Luvanda :
huyu jamaa inabidi awe anawasema wapinzan ili umuelewe
2026-10-26 14:18:52
4
𝕴𝖙𝖘 𝖒𝖆𝖓 𝖕𝖔𝖕𝖔 :
timu yenye kikosi finyu ni ile baada ya duke abuya chalii, kwn hlo hujaliona?
2026-10-20 21:01:11
4
Fashford queen 👑👑👑 :
kweli kabisa
2026-09-08 07:23:34
1
BLACK BOY :
yupo saw san ila ukiwa mpenz wa simba huwez muelewa
2026-10-26 04:48:04
4
Dr. Karim :
simba tuna matatizo makuu matatu
1. full back 3. kibabage na mligo hawatoshi.
2. kiungo mkabaji no. 6 maema na kagoma hawatoshi.
3. center foward. doumbia na mpanzu hawatoshi.
AKIBORESHA MAENEO HAYO ATACHUKUA MAKOMBE MPAKA ACHOKE.
2026-10-29 05:50:28
1
To see more videos from user @busungu_update, please go to the Tikwm
homepage.